Elections 2010 Tundu Lissu Kuwania Ubunge Singida Kusini - Mashariki

Mimi namuunga mkono kabisa!!! NImekuwa nikisubiri kusikia an activist anaingia Bungeni... huyu ni mmojawapo..

uyu jamaa yuko fiti kinoma, tatizo ni kwamba, ccm wanamfahamu vilivyo hivyo watafanya juu chini wahakikishe hafanikiwi kwa kuwalaghai wananchi wa jimbo lake, lakini uyu jamaa hata urais wa tz anafaa sana, kiasi fulani anaonekana kuwa mzalendo na ana machungu na nchi yake.
 
Jamaa ni mpiganaji.Unajua kinachochangia nchi hii isiende mbele ni woga wa watanzania,tulio wengi hatuna ujasiri hata wa kudai haki zetu.Tundu Lisu si mwoga,achana na hiyo ya Mwembeyanga ,wadau mnakumbuka mpishempishe wa Bulyankulu!?

Tunahitaji watu kama hawa waongezeke mjengoni ili waongeze idadi ya wabunge makini,wakiwa wengi wanakuwa na sauti,lakini Mzito nae siku hizi haeleweki! ni kama kanunuliwa vile,au ni wasiwasi wangu.
 
Huyu ndio mtu. Bunge la Tanzania linahitaji critical people like this, sio kina Mbowe vilaza.. We need educated, patriotic principle led leaders. Unadhani huyu mkimpa kamati moja nzito itakuaje, lazima serikali ijicheki because he will fry them.
 
Unaugomvi naye? Mbowe na Makamba nani Kilaza!! bwa bwa bwa bwa bwah
 
the guy is fit,

Wana-Singida wasipomchagua huyu jamaa.... nitawashangaa kabisa

Hii ni moja ya habari njema nimepata leo
 
My full support..............Wazo kwa Moderator wa JF kwanini tusianzishe mfuko ambao wana JF watatoa michango ya hali na mali ili wale tunaona wanafaa tuweze wasaidia katika uchaguzi??
 
Kwangu mimi huyu Tundu Lissu ni NDIO bla kupingwa tunahitaji watu kama hawa ambao wako tayari kuwatoa wanainchi katika balaa.
 
Huyu ndio mtu. Bunge la Tanzania linahitaji critical people like this, sio kina Mbowe vilaza.. We need educated, patriotic principle led leaders. Unadhani huyu mkimpa kamati moja nzito itakuaje, lazima serikali ijicheki because he will fry them.
Wale unaowaita patriotic wanaongozwa na huyo unayemsema kilaza, kwani wao ni wajinga sana hawaelewi kiongozi bora ni yupi, kwa nini uwasemee au kwa nini hawaendi CCM kwa akina Makamba and CO. Ltd ambao sio vilaza.
 
Tatizo ccm wezi wa kura!hembu tujiulize kwa nini nec wame withdraw tender ya ku supply wino-pooling ink wa kupigia kura?hapo mwanzo walitangaza items nyingi za kupigia kura ikiwemo,hivi majuzi ktk daily news wakatangaza kuitoa item hiyo ya wino peke yake wanajua mchina atafanya magic ktk wino kamuulize mzee cheyo hata kura ya mke wake hakupata
 
Kaka yangu Tundu Antipas Lisu mimi nakufahamu sana tuliishi wote FIRE ARUSHA na nina kukubali sana na niko tayari kukusindikiza Singida kwa kazi hiyo kwa gharama zangu. Ila nakuomba sana kauli zako zisije geuka kama za kaka yetu ZITO ZUBERI KABWE baada ya kupewa kamati ya kupitia mikataba ya madini amefunga mdomo na yeye ameanza kulala bungeni au kuuza sura kama ndugu yetu MPOTO kwenye nyimbo yake ya MJOMBA. NAkutakia kila la kheri. Wito kwa wananchi wa SINGIDA mpeni nafasi kijana wenu awatumikie na nina amini Hamto juta.
 
Naona kwa maoni ya JF jamaa kishapita bila kupingwa. I like it.

Jasusi,

Kazi kweli kweli. Tatizo ni kwamba JF ni CHADEMA na wapiga kura kule Singida ni CCM. Uzuri wa siasa za Tanzania, akishindwa atadai ameibiwa na mafisadi.
 
Tatizo letu Watanzania tunachagua chama na sio watu. sitashangaa akashindwa uchaguzi ujao
 
Jasusi,

Kazi kweli kweli. Tatizo ni kwamba JF ni CHADEMA na wapiga kura kule Singida ni CCM. Uzuri wa siasa za Tanzania, akishindwa atadai ameibiwa na mafisadi.
Una uhakika gani JF ni Chadema ina maana na wewe ni Chadema, the problem of CCM members ni waoga kujitambulisha sehemu zenye mijadala ya kitaifa kama hapa na kwingineko kwa kuhofia kujulikana mawazo yao, uzuri wa wapenzi wa vyama vingine ikiwamo Chadema wana ujasiri wa kujitokeza na kusema wazi coz they have nothing to lose ndiyo maana unafikiri JF ni Chadema, nikuambie wazi members wengi wa JF ni CCM ukiwemo wewe lakini hamtaki kujitokeza na wanaojaa humu wakiwemo vistors wengi ni CCM.

There are currently 2680 users online. 386 members and 2294 guests
 
Jasusi,

Kazi kweli kweli. Tatizo ni kwamba JF ni CHADEMA na wapiga kura kule Singida ni CCM. Uzuri wa siasa za Tanzania, akishindwa atadai ameibiwa na mafisadi.

Unauhakika gani ? ama ndo zile zile zidumu fikra sahihi za mwenyekiti?
 
Shida kubwa ni utayari wa wana wa Singida kusini kuongozwa ama kuwakilishwa na intellectuals kama huyu Bwana; hata hivyo nina imanai naye na namuombea kwa Mungu
 
Tunakutakia kila la kheri Brother,kuna kijana mwingine naye ana mawazo hayo ni yule wa Mbeya vijijini kwa hiyo mpeane mawazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom