mbona tiari uko wap wewe
mbona tiari uko wap wewe
Ni nani mtaje
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM imeshindwa kutengua kitendawili cha mtu mwenye sifa ya kusimama na Tundu Lissu Singida Mashariki. Mpaka sasa mgombea wa CCM hajafahamika.
Kusema Lissu anapita bila kupingwa?