Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

Uzuri wa Lissu si Mnafiki. Alipopigwa risasi alimtaja hadharani Magufuli, na kuhusu mazuri yake si mara ya Kwanza anayasema.

..Magufuli alisaini mkataba kusamehe usd 191 billion na kukubali kishika uchumba cha usd 300 million.

..mkataba kati ya Magufuli na Barrick ulikuwa mbaya na kutukandamiza Watanganyika.
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Nonsense...
 
Ukitoa mafisadi na watu waliowaajili mitandaoni wakati wa uhai wa mwamba.

Wengine walikuwa wanafuata mkumbo tu na kutokumuelewa.

Ukweli uchelewa kufika kwenye uongo, ni muda sasa ukweli wa Maguli kupewa sifa zake akiwa ameshatangulia.

Wanaanza kumuelewa sasa wale waliokuwa wakimtukana kwa kufuata mkumbo.
 
HILI wimbi la Bandari hili lina mengi!!

Naziona akili za Abdu jumbe ndani ya kichwa cha samiah!!

Hapa wamecheza kama pele!yaani sisi tumezoea kuonewa nanyinyi je mkionewa mtauvumilia muungano!!?

2001 mkapa alipotwanga watu kule mwembe chai tulivumilia!

Chaguzi zote tumevumilia!

Na vikosi vya kijeshi toka Bara vya Bara HADI leo vipo kule tulivumilia!

Je na sisi tukiuza Bandari KWA wageni watoto wenu wakakosa ajira na lango la pesa wakawa mafukara je mtauvumilia enyi watanganyika!!!?
 
Japokuwa sijamsikia TAL akisema hayo, lakini kuna ukweli wa wazi kuhusu hilo.
Ni kweli pia kwamba JPM alikuwa na mabaya yake lakini kuhusu kuingia mikataba mibovu ya kuuza nchi kwa wageni si miongoni mwa mabaya yake.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Leo umeongea ukweli
 
Marais waislam hawafanyagi lolote la maana zaidi ya kuuza nchi yetu.
Kilio cha ubinafisishaji na mikataba ya hovyo ilisainiwa enzi za utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia!
Ma Rais waislam hawa hamasishi watu kufanya kazi badala yake huwa hamasisha watu kukabidhi rasilimali zao kwa watu wengine na wao wawe watazamaji tu.
Marais wakiristo wanaamini katika kufanya kazi na kujitegemea, angalia kuanzia Nyerere, Mkapa, na Magufuli waliamini katika kufanya kazi na kujitegemea kupitia ujenzi wa viwanda.
Tatizo ni elimu au malezi?
Hiyo ni kweli marais wote wakirito ni wasafi sanaaaaa hongera jipigie makofi
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Shujaa Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya Hovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni

Tundu Lisu anaongea na Waandishi wa Habari

Mungu ni Mwema wakati wote!
Bila kujali Lisu amesema nini, ww ni mzuri kwenye kubadili mantiki ya kinachosemwa.
 
Back
Top Bottom