Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

Hivi watu wanaenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini hawahoji kwanini Magu alitaka kumuua Tundu au watahoji tar 28 Oct??
Huna huo ushahidi mezani ni maneno ya mitandaoni na vijiwe vya kahawa
 
Kama yote mnayajua na kuwa mtashinda kwa kishindo, kwa nini msiache uchaguzi kuwa huru, haki na kuaminika?
Uchaguzi ni huru haki na usawa kila mtu atimize wajibu wake kwa mujibu sheria kanuni na taratibu au miongozo
 
Pata nice bundle kama unauwezo type kwenye Youtube search button "Robert Amsterdam" sio Amstadam find out kama anaongea kisukuma otherwise mtu ambaye nimemunyima kura tayari namjua
Sasa itakuaje... maana siiwezi kutype Amstadam kwa kidhungu. Ila mkumbushe anapambana na Rais aliyeishinda CORONA duniani

Unaweza kumtumia na haka kaujumbe hapa chini 😁😁😁😁

Screenshot_20200929-140107.jpg
 
Saitakuaje... maana siiwezi kutype Amstadam kwa kidhungu. Ila mkumbushe anapambana na rais aliyeishinda CORONA duniani

Unaweza kumtumia na haka kaujumbe hapa chini 😁😁😁😁

View attachment 1612111l
Alishinda kwa kutumia jia gani??? Hivi mumesahau akatoa direction ili ndege ziende Madagascar kuchukua dawa ya Corona?? Hukumuona yule Waziri wake alikata dawa ya Corona kama gongo wakati imetua nchini?? Sema mnatumia short mermory ndio maana mmekua mateka ya CCM for quite long. Someone who cant even dare to construct a single kidhungu sentence yet is a Phd holder...so pathetic.
 
Alishinda kwakutumia jia gani???hivi mumesahau akatoa direction ili ndege ziende Madagascar kuchukua dawa ya Corona??Hukumuona yule Waziri wake alikata dawa ya Corona kama gongo wakati imetua nchini??Sema munatumia short mermory ndio maana mumekua mateka ya ccm for quite long.Someone who cant even dare to construct a single kidhungu sentence yet is a Phd holder...so pathetic.

Umesahau viongozi wako wa chama walivyotimka bungeni😁😁😁 ila chadema matapeli sana, eti wakasubiri hadi posho ikaingia ndio wakakumbuka kuna corona

John Pombe Magufuli unayedai hajui kizungu ndio rais wako hutaki hama Nchi au kuwa rais wewe teheteheee

Kizungu kimekuingizia sh ngapi leo
 
Umesahau viongozi wako wa chama walivyotimka bungeni😁😁😁 ila chadema matapeli sana, eti wakasubiri hadi posho ikaingia ndio wakakumbuka kuna corona

John Pombe Magufuli unayedai hajui kizungu ndio rais wako hutaki hama Nchi au kuwa rais wewe teheteheee

Kizungu kimekuingizia sh ngapi leo

Magufuli's Mild Response to COVID-19 a Threat to East Africa ...

www.fourthtelevision.com › post › magufuli-s-mild-res...

Apr 24, 2020 — President John Pombe Magufuli of Tanzania is still adamant and will not ... has called on herbalists and witch doctors to join the fight against Coronavirus ... “There are calls to lock down Dar es Salaam, we will never do that.


Inawezekana kwenye beliefs zenu mukaamini amemaliza Corona nchini kwasababu nyie na ushirikina ni damu damu....

1.Pic ya kwanza chini.. babu waliondo anapiga chemistry yake ya mitishamba

2. Pic 2 .......mzee mwenyewe akatua kusafisha damu anakata kikombe kama gongo.


Overall kwamawazo yenu na green brains inawezekana akaidhibiti Corona Kada nisikupinge
 

Attachments

  • babu 1.jpg
    babu 1.jpg
    11.6 KB · Views: 1
  • babu waliondo.jpg
    babu waliondo.jpg
    8.7 KB · Views: 1
Tundu lissu atashinda kwa kura nyingi tu tatizo nani atanyanyua kinywa chake amtangaze?

CCM hawa ni wahuni sana usishangae kukuta vituo hewa vingne huko baharini, hili nalo tusilisahau mlinda kura kachaguliwa na muiba kura.
Mkuu kwenye kutangazwa ndio mtihani
 
"Mlo mmoja pia umekuwa wa shida kwa Watanzania" Sheikh Ponda Issa Ponda
 
Nyie Mafisi wa CCM mnawafanya Watz kama mazuzu!!!
Hayo MATUSI ya Lissu ni yepi yaliyo wakasirisha Watz?
TATIZO LA UTAWALA HUU WA KIDIKTETA NI KWAMBA MAGUFULI AKIKOSOLEWA NA UPINZANI ANAONA KATUKANWA MATUSI??
Shame on you CCM g*ys.
 
Genge la watu Sita, ndio Wanataka kuwahadaa watanzania never. Mgombea urais wao tayari ashafanya booking ya Klm 18/12 safari. Nenda mwana kwenda kwa Amsterdam wako, tuache tunu zetu.
 
Genge la watu Sita, ndo Wanataka kuwahadaa watanzania never. Mgombea urais wao tayari ashafanya booking ya Klm 18/12 safari. Nenda mwana kwenda kwa Amsterdam wako, tuache tunu zetu.
Hivi ukigoma kufa kwasababu ya matakwa ya wauaji imekua nongwa tena kwenda kupata medical check up? Kwanza anatumia nauli yake ....kuna kamsemo "uki test nyama ya binadamu huachi"
 
Hayo ni mawazo yako na una haki ya kuamini hivyo. Ila ukiniuliza mimi nitakuambia mshindi ni Lissu kwa asilimia 90. Ni mawazo yangu na nina haki nayo.

Sasa wewe unayo yako na mimi ninayo yangu, kumbe kikubwa hapo ni uchaguzi uwe huru, wazi na haki, kura za wananchi ndani ya box la kura zitaamua.

Tatizo CCM mmejipanga kuiba kura na kuvuruga uchaguzi, tatuzaliana mwaka huu.
 
Uchaguzi ni huru haki na usawa kila mtu atimize wajibu wake kwa mujibu sheria kanuni na taratibu au miongozo

Wewe unayetuhumiwa kuuhujumu uchaguzi una credibility gani kutoa hitimisho hilo?

Justice system ya wapi hii?
 
you dont need hata hao EU, just listen to himself then mengine fanya clcualtions za election ya 2015 utapata jibu

Ningekuwa mimi ni wewe ningetaka Lissu ashinde kwani sera zake za elimu zitakusaidia kupata ujuzi wa lugha ya malikia. Your English is terribly terrible!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom