Hii ilihusu mambo ya rushwa kwa mawakala?
ile kese ya lema jajai alisema page ya mwisho na kuhitimisha ...kumbuka ile iliandikwa kwa kingereza ambapo yuje voda fasta (jaji) hawezi kuongea wala kusoma vizuri..ndio maana alifanya fasta hii iko kwa kiswahili jaaji anasoma mwanzo hadi mwisho
Tuzidishe maombi wadau kubadilisha maandishi katika karatasi ya hakimu.
kweli mbumbumbu wengu humu!
"Bora dr Slaa awe rais, kuliko huyu Tundu Lissu kuwa mbunge" JK (2010)
- NIKIIKUMBUKA HII KAULI YA JK MOYO WANGU UNANYONG'ONYEA.
"Bora dr Slaa awe rais, kuliko huyu Tundu Lissu kuwa mbunge" JK (2010)
- NIKIIKUMBUKA HII KAULI YA JK MOYO WANGU UNANYONG'ONYEA.
Hatimaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Hakimu anamalizia kwa kusemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nne au nane?hoja ya nne nayo pia imetupwa mbali
Duh...bado watu wanamuwaza Lema saa hizi!!
tumeshafika mahakamani, wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa, wananchi wa singida, na waandishi wa habari wapo wengi sana katika eneo la mahakama.
Polisi ni wengi sana, ndani na nje ya mahakama. Kilicho cha ajabu kidogo leo getini maofisa wote wakubwa wa jeshi la polisi wapo pale na kikosi maalumu kwa ajili ya kumkagua kila anayeingia mahakamani, tunapekuliwa hasa, hadi wabunge wanaoingia.
Kuna baadhi walikatazwa kuingiza magari yao mahakamani lakini baada ya vuta nikuvute, magari yapo mahakamani, na watu wamtinga ndani tunasubiri yatakayojiri.......... Tutawajuza, leo kamanda nipo gado, mungu amenijalia afya.
updates: