Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Mimi nina mawazo tofauti kuhusu uwepo wa polisi kwa wingi ni ishara kuwa wanajua hukumu itakuwaje. Wanachukua tahadhari kwa lolote litakalotokea baada ya hukumu iwe +ve kwa Lissu au la. Wakiwa wachache halafu wakazidiwa nguvu na wapenzi wa kambi yoyote ile itakayoshinda au kushindwa sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuwalaumu.
Ukiona polisi ni ishara mbaya kwa CDM......maana kama kuna jema kwa CDM si ajabu usingeona hata mmoja labda wale askari kanzu.....
 
Mkuu unataka kusema nini hapa??
Kwamba Haki haipo mahakamani au kwenye kesi za uchaguzi?
au kwamba kimsingi Lissu atashindwa lakini ataokolewa kwa kujuana na learned brothers?

what exactly is your point mkuu!!
Haki haipo kwenye mahakama zetu. Muundo wa mhimili huu, uhuru wake wa kufanya kazi, teuzi za Majaji, ni utata mtupu. Learned Brothers pia wanapendana sana. Mara chache kusikia wanaangushana kiivyo lakini pia wanamtumia sana Lissu bungeni. Lissu ana majimbo mawili kwa maana hiyo. Hawatamwangusha.
 

Ccm imekwisha arusha kigogo mwingine atimkia chadema
Am ver sor kuwatoa nje ya mada, dk 1 minute to know this, Huyu ni Jigogo kweli kweli wa CCM
 
Hoja ya 3 ime2pwa inasomwa hoja ya 4 tundu lissu alitoa rushwa ya chakula na usafir kwa mawakala wa vyama vyote kasoro ccm
 
Tumeshafika mahakamani, wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa, wananchi wa Singida, na waandishi wa habari wapo wengi sana katika eneo la mahakama.

Polisi ni wengi sana, ndani na nje ya mahakama. Kilicho cha ajabu kidogo leo getini maofisa wote wakubwa wa jeshi la polisi wapo pale na kikosi maalumu kwa ajili ya kumkagua kila anayeingia mahakamani, tunapekuliwa hasa, hadi wabunge wanaoingia.

Kuna baadhi walikatazwa kuingiza magari yao mahakamani lakini baada ya vuta nikuvute, magari yapo mahakamani, na watu wamtinga ndani tunasubiri yatakayojiri.......... tutawajuza, leo kamanda nipo gado, Mungu amenijalia afya.

UPDATES:
Mmmhhhh kaka mbona hiyo hali ni kama ilivyokua kwenye hukumu ya lemacarusha??? Polisi walikua wengi sana na hukumu ikawa mbaya kwake... Nina wasiwasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom