Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

nashangaa sana sijui hofu yao inakuwaga nini wanapoamua kuweka ulinzi mkubwa tena hata pasipoitaji ulinzi wa namna hiyo, wanaohofia nguvu ya umma
 
nashangaa sana sijui hofu yao inakuwaga nini wanapoamua kuweka ulinzi mkubwa tena hata pasipoitaji ulinzi wa namna hiyo, wanaohofia nguvu ya umma

wamejua matokeo hivyo kuna muunganiko kati ya mahakama, ccm, cc na jeshi la polisi
 
hoja ya nane na tisa ndizo zitakazo mmaliza lissu
Lissu ataokolewa na "learned brothers" wenzake hawa. Alitoa hotuba nzuri sana kama waziri kivuli wa Katiba na Sheria kwenye Bunge la bajeti lililopita kuhusu Muhimili huu muhimu unavyofanya kazi kwa taabu bila pesa, vitendea kazi, posho za Majaji,...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom