Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Babake mshuwa Rz1, si alishasema kuwa Huyu Lisu ni hatari kwa serikali kuliko Dr. Slaa?, inamaana meshasahau?, Subilini tu hukumu.
 
Walalamikaj wameshndwa kudhbtsha dai la kwanza kuhusu Lissu kuandaa barua za vyama vngne.
Hoja za walalamikaj zpo 9. Jaji ndo anafafanua 1 baada ya nyngne

kama upo ndani mahakama kinachoendelea sasa nini.
 
Hoja ya 3 ya walalamikaj ni kuwa Chadema ilikuwa na mawakala 1240 ktk vituo 124 vya uchaguzi mwaka wa 2010. Hakimu ndo anatoa ufafanuz sasa.
Walalamikaj wameshndwa kudhbtsha hoja ya kwanza na ya pili

pamoja kamanda.
 
Hoja ya 3 ya walalamikaj ni kuwa Chadema ilikuwa na mawakala 1240 ktk vituo 124 vya uchaguzi mwaka wa 2010. Hakimu ndo anatoa ufafanuz sasa.
Walalamikaj wameshndwa kudhbtsha hoja ya kwanza na ya pili

Pamoja sana mkuu!
 
Unalalamika hata hukumu haijamaliza kusomwa? mashabiki wa CDM cjui niwaweke category gani?
Kama kule Arusha kwenye kesi ya Lema aliyekashfiwa hakushtaki yeye wala kuja kutoa ushahidi na hukumu ikawa ni ile unatarajia hapa Singida kuwe tofauti? Labda wamwonee huruma "learned brother" mwenzao Lissu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom