Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Wapendwa mimi nina skype lakini ni connect vipi ili mpate kusikia live toka hapa mahakamani? maana nipo karibu kabisa na tukio. Isango kwa pembeni nipo naye kamanda huyu. actually utafikiri leo kuna mtu anahukumiwa kifo maana hata sisi wasikilizaji tunaogopa polisi kwa jinsi walivyovaa. ALUTA CONTINUA. NIJUZENI JINSI YA KUTUMIA SKYPE.

tunaomba user name yako ya skype..
 
Hivi wakimtoa mje ya bunge si ndio vizuri sasa atatusaidia kuichambua katiba vizuriiiii, nadhani wataruka mikojo na kukanyaga kinyesi hapo
 
"Dua yangu", siku ya ubaya isiwe leo na Mungu umuepushe Tundu Lisu, fitina na hiana za waliojaza myoyo yao kwa uchungu kama shubiri zikarejee na kuwa ijara yao na kizazi chao mapaka watakapojua kutenda haki.
 
Ma self siamini kama mafisadi watatuachia jembe letu maana wameiteka tanzania yetu na wanajitaidi kupambana na kila anayetetea wanyonge watanzania! Poli wengi hivyo wa nini?
 
Wadau Jamii Forums, hukumu kwa kesi kama hii huchukua kusomwa pengine zaidi ya masaa mawili au matatu. Hatuwezi kupata update kwa vile ni mlolongo mrefu sana wa pengine kurasa zaidi ya mia.

Jambo la msingi mwisho wa kusomwa hukumu ndipo unapopata hatima ya kesi, tuvute subira hitimisho la hukumu ya kesi ni mwishoni si mwanzi au katikati.
 
Walalamikaj wameshndwa kudhbtsha dai la kwanza kuhusu Lissu kuandaa barua za vyama vngne.
Hoja za walalamikaj zpo 9. Jaji ndo anafafanua 1 baada ya nyngne
 
Wapendwa mimi nina skype lakini ni connect vipi ili mpate kusikia live toka hapa mahakamani? maana nipo karibu kabisa na tukio. Isango kwa pembeni nipo naye kamanda huyu. actually utafikiri leo kuna mtu anahukumiwa kifo maana hata sisi wasikilizaji tunaogopa polisi kwa jinsi walivyovaa. ALUTA CONTINUA. NIJUZENI JINSI YA KUTUMIA SKYPE.
Mkuu vipi lakini mwenendo wa hiyo hukumu???

Hajakaribia yale maneno ya mwisho??
 
Unalalamika hata hukumu haijamaliza kusomwa? mashabiki wa CDM cjui niwaweke category gani?
Mhimili wetu wa MAHAKAMA unahitaji mabadiliko makubwa. Kenya wameanza kuusafisha mhimili wao kwa kuanza na Majaji wa Mahakama ya rufaa.
 
Siku wataacha mambo yao ya kibianfsi,kidhulumati na majina mengine yote, kwani hata katika biblia kuna mfalme aliyekuwa anaombwa na mwanamke ruhusa kwa mda mrefu na hatimaye yule mfalme alikuja kumpatia haki yake yule mwanamke, sasa basi tumeshaomba kwa mda mrefu haki zetu pasipo kupata, watoe hukumu watakavo ila jamii ndio hitimisho kwani sasa tufanye kazi kwa kwenda mbele katika kuelimisha wale tuliowaacha nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom