Tundu Lissu ana uwezo mkubwa zaidi ya mwanasheria mkuu Werema

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
kwa mtizamo wangu ingetokea tindu lisu ndy mwanasheria mkuu sidhani kama angeweza tamka maneno aliyotamka mwanasheria mkuu mura werema kuhusu katiba
 
Hivi katika issues za mikataba huyu jamaa sio expert??, ningependa nijue mawazo yake kuhusu issue ya Dowans
 
Hiyo siyo habari kwani kila mtanzania mwenye ufahamu lazima anatambua kuwa Tundu Lissu ni moto wa kuotea mbali. Huwezi kamwe kumlinganisha na Werema.
 
si alisema lazima Tz imlipe mwenye Dowans ambaye ni chief boss presdaa'?
 
kwa mtizamo wangu ingetokea tindu lisu ndy mwanasheria mkuu sidhani kama angeweza tamka maneno aliyotamka mwanasheria mkuu mura werema kuhusu katiba

huo ni ukweli, si mtizamo wako ndugu...
 
Yaani unashika mkia wa mbwa unauliza **** liko wapi?Au unauliza makofi polisi?Ni dhahiri kua Lisu auwezi kumlinganisha na Warema.Tundu Lisu ana akili sana na anajiamini sana.
 
Werema aliwahi kusema yeye si mwanachama wa CCm.Lakini ayatendayo sasa anadhihirisha ana kadi ya ccm toka anaingia chekechea.
 
kwa mtizamo wangu ingetokea tindu lisu ndy mwanasheria mkuu sidhani kama angeweza tamka maneno aliyotamka mwanasheria mkuu mura werema kuhusu katiba

Hapo unamdhalilisha kamanda Lissu kwa kufananisha uwezo wake na wa Werema.

Ni vichwa viwili tofauti, kimoja (Lissu) kina sura na dira halisi ya wapi taifa linatakiwa lifike, wakati kichwa kingine -au bichwa ya pili ni tupu, na haioni hata ilipo yenyewe sembuse kujua dira ya taifa!

kamwe tunaomba usiwe unalinganisha tena au kufananisha uwezo na weledi wa viongozi au wabunge wa CDM na yeyote wa CCM maana utakuwa huwatendei wananchi haki na kamwe hutopata majibu sahihi.

Dokezo:
at least kupata usahihi use this formula:
1 CDM = 5 CCMs
 
Lisuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ni machine kubwa. JK na jeshi lote walisalimu amri ili asipate ubunge.

Acha wakilisha watu wake kabla hajawa mbunge. uchambuzi wake wa matumizi ya kodi na michango ya wananchi ni kiboko.

Mungu amjali aendelee kuwa na nguvu, busara zaidi na zaidi. Ni wateule wachache wanaoipigania nchi hii kwa uchungu.

Apewe PhD ya heshima siyo kina JK.......
 
kwa mtizamo wangu ingetokea tindu lisu ndy mwanasheria mkuu sidhani kama angeweza tamka maneno aliyotamka mwanasheria mkuu mura werema kuhusu katiba

Ubongo wa Werema unauzwa Slillingi Billioni 185 kwa kilo, na ule wa Lisu unauzwa shillingi 10 kwa kilo. Unadhani ni nani mwenye ubongo wenye thamani kubwa?

Jibu rahisi: kwa bei hiyo ni wazi kuwa ubongo wa Werema ni aghali sana: Kosa

Jibu sahihi: Kichwa kimoja cha Lisu kinatoa ubongo wa zaidi ta tani moja kwa hiyo ni rahisi kuuuza kwa bei nafuu. Lakini kichwa cha Werema kinatoa ubongo kidogo sana kiasi kuwa unahitaji vichwa vya namna hiyo vipatavyo billioni mia moja ili kupata kilo moja. Kwa hiyo ni lazima ubongo huo uuzwe aghali. Umepataa, Kweli na Aspro!!!
 
hahaha ... kila mmoja amebobea kwenye nyanja zake, bahati mbaya makamba haja publish za kwake.

aki-publish utaweza kusoma alichopublish? ni bahati nzuri na mshukuru Mungu makamba hana uwezo huo.
 
aki-publish utaweza kusoma alichopublish? ni bahati nzuri na mshukuru Mungu makamba hana uwezo huo.
ehh Mkuu Utingo Kuna wa tz wachache wangependa sana kusoma hiyo Journal, mfano NEC, JK na wanachama wa sisiem
 
kwa mtizamo wangu ingetokea tindu lisu ndy mwanasheria mkuu sidhani kama angeweza tamka maneno aliyotamka mwanasheria mkuu mura werema kuhusu katiba
Naogopa sana kuusema uwezo wake.... lakini ana sifa kuu ya kushindwa kesi anazozisimamia!! (mojawapo ni ya CHAVDA)
 
hakuna haja ya kuuliza ndevu kwa osama, pia huyo werema yupo pale kwa maslah ya mkwere na genge la majambazi wa kalam wenzie.
 
Back
Top Bottom