assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
mh zito kabwe naibu wa kambi ya upinzani bungeni alionya wabunge wake dhidi ya kuisifu serikali tundu lissu naona hatambui cheo cha naibu kambi ya upinzani
Hivi inawezekana mtu kuongezewa akili kwa syringe? Huyu mleta uzi ana upungufu wa gray matter. The medula oblongata is not working properly.muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
wewe huitaji degree darasan ili ueleweAmeivunja aisee:nod:
Mkuu hawa ni miongoni mwa waliotaga,serekali ikafanya standardazation lakini bado cheti kinasoma dungu.,hata kuandika kwake shida"NAIBU WA KAMBI YA UPINZANI" ndio mdudu gani!? I wonder kama unaijua vizuri hata jinsia yako..
Tangu lini neno likawa nafsi hadi liulizwe.acha matusi mkuu kila neno litaulizwa ck ya mwisho
unahitaji anti virus medula oblangata nazani inaliwa computa itastakitene huo ni uchonganishi wa hali ya juu. Kama mekosa vitu vya kupost bora kukaa kimya.