Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
 
mh zito kabwe naibu wa kambi ya upinzani bungeni alionya wabunge wake dhidi ya kuisifu serikali tundu lissu naona hatambui cheo cha naibu kambi ya upinzani
 
Vijana msipotafuta kazi ya kufanya maendeleo mtayasikia redioni tu, kutwa kutafuta pesa ya bundle uingie mtandaoni badala ya kufanya kazi upate kipato halali, kwa maendeleo yako na ya Taifa.
 
mh zito kabwe naibu wa kambi ya upinzani bungeni alionya wabunge wake dhidi ya kuisifu serikali tundu lissu naona hatambui cheo cha naibu kambi ya upinzani

"NAIBU WA KAMBI YA UPINZANI" ndio mdudu gani!? I wonder kama unaijua vizuri hata jinsia yako..
 
muda huu wakati anachangia kupitisha bajeti ya fedha amemsifu wazir MGIMWA na kuomba mawazir wengine kumuiga. je? hajavunja amri ya MH ZITO KABWE ya kuisifu serikali
Hivi inawezekana mtu kuongezewa akili kwa syringe? Huyu mleta uzi ana upungufu wa gray matter. The medula oblongata is not working properly.
 
Wananchi tuna mchango mkubwa katika siasa chafu kwa viongozi...ulie post hii kitu ni ibilisi na maskini wa fikra
 
macdm kweli akili zao zinaitaji anti virus ubongo wote umeliwa wanasahau upesi kauli ya zito kabwe
 
Tene huo ni uchonganishi wa hali ya juu. Kama mekosa vitu vya kupost bora kukaa kimya.
 
"NAIBU WA KAMBI YA UPINZANI" ndio mdudu gani!? I wonder kama unaijua vizuri hata jinsia yako..
Mkuu hawa ni miongoni mwa waliotaga,serekali ikafanya standardazation lakini bado cheti kinasoma dungu.,hata kuandika kwake shida
 
Back
Top Bottom