Tundu Lissu amjibu Zitto kuhusu tuhuma za LEAT

Kumjibu zitto ni kupoteza muda,Zitto anafanya kazi ya watawala,kazi yake ni kuwatoa wapinzani kwenye reli hasa pale watawala wanapokuwa wamebanwa,ajue tu kuwa wapinzani wa leo hawapunguzwi kasi kijinga kiasi hicho,Lissu is our time hero.
asee nimeipenda sana ur koment....SO
SMART
 
Bravo! Wengi wanakujua baada ya kuwa Mbunge, laiti wangekufahamu ulivyokuwa ukikoswakoswa na risasi za polisi wa nchi yako waliokuwa wakilinda migodi ya Wawekezaji (Wakoloni) huko Bulyanhulu na Nyamongo kwa maagizo ya watawala (ccm) kisa unawatetea wananchi walioenda wenyewe kwenye boksi la kura na kuchagua mateso, wasingebwabwaja! Ila jambo unalopaswa kujivunia ni jinsi CCM wanavyopandwa na BP kwa jinsi unavyowanyanyasa! Wameishia kukuita kichaa kumbe wao ndio wanaomuhitaji Tabibu!

Bravo T.L!

Kila wakisikia taarifa yoyote kuhusu Tundu Antipas Lissu wanashtuka hata kama wanakula wanaacha kwanza!
 
Anaandika Lissu,

Fedha gani za Mzungu nilizopigia kampeni mwaka 2015??? Fedha zote nilizotumia kwenye uchaguzi wa mwaka jana zilitokana na malipo ya kiinua mgongo tulizolipwa wabunge wote. Niliondoka LEAT mwezi February 2009, zaidi ya mwaka na nusu kabla sijawa mbunge. Kazi ya ushauri wa kisheria niliyoifanya kati ya mwaka 2007 na '09 haikuhusu wananchi wa vijiji vitano vya Bagamoyo kunyang'anywa ardhi zao. Ilihusu kampuni ya SEKAB Bio-Energy kupewa hekta 22,000 za Shamba la RAZABA (Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo) ambalo Serikali ya Mwalimu Nyerere iliipatia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika miaka ya '60 kwa ajili ya ufugaji ng'ombe. SEKAB Bio-Energy walipewa shamba hilo kufuatia makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 2007. Barua ya Wazungu hao kupewa shamba hilo iliandikwa na Dkt. Jumanne Ngasongwa, wakati huo Waziri wa Uchumi, Mipango na Uwezeshaji. Mimi nilipewa kazi ya ushauri wa kisheria juu ya taratibu za utathmini wa shamba hilo kwa ajili ya ulipaji fidia na masuala yanayohusiana nayo. Kwa kuwa mimi sio wakili magumashi, nyaraka zote nilizoziandaa kwa ajili hiyo ninazo na nimezipitia tena baada ya maCCM wa humu ndani na/au mawakala wao kuleta uzushi huu. Hakuna hata moja inayohusu mwanakijiji hata mmoja kunyang'anywa ardhi yake. And believe you me, I was paid handsomely for my legal advice. Mimi ninajulikana kimataifa kwa kupigania haki za ardhi za wanavijiji katika nchi hii zilizoporwa kwa mabavu na maCCM na kukabidhiwa wawekezaji wa nje. Whether ni Rufiji Delta au kwenye hifadhi za taifa za Umasaini au kwenye Goldfields za Kanda ya Ziwa, nimetetea wananchi dhidi ya makampuni ya kigeni na mawakala wao wa Serikali za maCCM. Nimeifanya kazi hiyo tangu ujana wangu. I'm proud to say I've fought tirelessly and consistently for my people.
Mbona wakati wa mgogoro wa Bulyakunkulu ulikua unalala juu ya mti kw\a kuogopa polisi?
 
Natamani sana huyu jamaa awe Raisi wa Tz maana hii nchi imejaa ma matabu rasa wengi
 
Bravo! Wengi wanakujua baada ya kuwa Mbunge, laiti wangekufahamu ulivyokuwa ukikoswakoswa na risasi za polisi wa nchi yako waliokuwa wakilinda migodi ya Wawekezaji (Wakoloni) huko Bulyanhulu na Nyamongo kwa maagizo ya watawala (ccm) kisa unawatetea wananchi walioenda wenyewe kwenye boksi la kura na kuchagua mateso, wasingebwabwaja! Ila jambo unalopaswa kujivunia ni jinsi CCM wanavyopandwa na BP kwa jinsi unavyowanyanyasa! Wameishia kukuita kichaa kumbe wao ndio wanaomuhitaji Tabibu!

Bravo T.L!
Bora wew unalijua hilo, tukitupa itikadi kule huyu jamaa ni mtetezi wa kweli
 
Back
Top Bottom