Tundu Lissu ambana RPC mahakamani, RPC ashikwa kigugumizi (Shein na Seif) nao wahitajika mahakamani

nlifatlia hii kesi hakuna pahala RPC alposhkwa na kgugumizi unapotaka andka habr andka habar sahihi husingze uchadema wako...huo n ugonjwa wenu mnapenda kupotosha kesi...
 
Ultimately gymnastics za Tundu zitafika mwisho.Anadhani ana akili kupita watu wote ! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, wahenga walisema !
Dua za kuku? Acha kulalamika! Hamna ujanja wowote hapo ila kuna UPUMBAVU WA upande wenu! Priority yenu ni Wapinzani badala ya mambo ya maana!
 
Matokeo ya Elimu huwekwa kwenye cheti(makaratasi)Usiliamini kila karatasi liitwalo cheti ukadhani lina matokeo sahihi,yawezekana kilichomo kwenye cheti ni zao la Bashilelism.

Nimeyadharau sana Makaratasi yanayoitwa vyeti vya elimu,tena yale yenye "Title" kubwa kama PhDs,Bachelors na nyinginezo.Ulishawahi kujiuliza PhD ya mafuta ya maganda ya korosho imeleta tija gani kwa Taifa tangu atunukiwe mwenye nayo?Au yule aliyepewa PhD baada ya "kukokotoa" umuhimu na faida za serikali tatu na baadae akalikana andiko lake lililompatia cheti chake cha " Permanent Head Dissoder(PhD)"?
Yetu macho
 
Ultimately gymnastics za Tundu zitafika mwisho.Anadhani ana akili kupita watu wote ! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, wahenga walisema !
Hapa mkuu na wewe umeamua kujitia hamnazo shida ni kuwa ukweli ukidhihiri uwongo hujitenga usichanganye chuki na ukweli hivi Kweli uchochezi ni issue kwenye Taifa utadhani tupo enzi za mkoloni
 
Hivi vyeo vya kupewa ndiyo tatizo lake, watu wafanye interview ya wazi.
Interview ya RPC!!!!

Vigezo uwe unajua mibishana na lisu.

Kwani kuna mwanasheria gani hata kutoka chadema anaweza kubishana na lisu???
 
Matokeo ya Elimu huwekwa kwenye cheti(makaratasi)Usiliamini kila karatasi liitwalo cheti ukadhani lina matokeo sahihi,yawezekana kilichomo kwenye cheti ni zao la Bashilelism.

Nimeyadharau sana Makaratasi yanayoitwa vyeti vya elimu,tena yale yenye "Title" kubwa kama PhDs,Bachelors na nyinginezo.Ulishawahi kujiuliza PhD ya mafuta ya maganda ya korosho imeleta tija gani kwa Taifa tangu atunukiwe mwenye nayo?Au yule aliyepewa PhD baada ya "kukokotoa" umuhimu na faida za serikali tatu na baadae akalikana andiko lake lililompatia cheti chake cha " Permanent Head Dissoder(PhD)"?
Umemuelewa mshkaji aliyeuliza lakin?,
Ameuliza elim yake sio cheti chake?. Tafuta maana ya elim
 
Nashauri mashahidi na mawakili wa serikali wakiambiwa wakatetee serkal mbele ya lissu ni bora wakaenda hata Hosp. kulazwa hata kama hawaumwi wakindelea hivi kuna siku mtu atakufa au atatoa hewa yenye utata, Sasa huyu hamdan kila akikutana na lissu chali yawezekana huwa analazimishwa sio ridhaa yake. Wawe wanawapima pressure asijekufa mtu wakamsingizia lissu kwamba amemlisha msokoto
 
Huyu TL kesi za uchochezi zinamjenga sana kisiasa na washtaki wake sijui wanaliangalia hilo? Hopefully na leo atawagaragaza vibaya mahakamani
 
Back
Top Bottom