zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,134
- 28,877
Magufuli alilalamika kuwa hiyo 16% ipo kisheria lakini kwanini hatuipati. Nadhani ilipitishwa baada ya tume juu ya Buzwagi miaka ya 2010. Issue ilikua utekelezaji tu.Sio kwamba madiliko ya sheri za madini mwaka 2017 zimeleta haya mabadiliko? Au Act wazalendo hamkuwemo bungeni?
Hta mrabaha ulipandishwa hadi 4% ila sie bado tulipokea 3% pekee. Mkuu ukiwa unapenda kusoma hakuna mwanasiasa atakupotosha awe wa CCM au Upinzani.