Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

Huyu jamaa alikuwa na Roho mbaya sana. Alitamani kila tukiamuka asubuhi ahutubie yeye tu afu Rais awe anakubali kila kituchache.

Aibu kama hizi zinamfanya aumwe Zaidi huko aliko.
 
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Bado yako bandarini kwani
 
Kuna nyumbu Yuko nyuma ya tundulisu hata Ela ya kunyoa Hana alafu anashabikia siasa badala ya kufanya kazi alafu siku izi simuoni sijui mwenyekit kamtimua au alienda ubelgij
 
Sasa huu mchanga sio mali ya Tanzania? Maana Tanzania ina hisa Twiga minerals na economic profit ni 50% kwa 50%. Na upouzwa unauzwa na Twiga minerals ltd.
Unajua shida humu watu hamsomi kabisa mnasubiri kelele za wanasiasa.

Mchanga kwa sheria zilizokuwepo ni wa muwekezaji (kampuni husika) anachouza si anapata faida?

Sasa serikali ndio inadai mrabaha wake wa 4% na pia kuna mandatory 16% ya hisa, sasa economic benefits zinazopatikana kwa mgodi kuwa Tanzania (Sio FAIDA) ndio wanagawana pasu kwa pasu. Faida za kiuchumi za mgodi zipo nyingi sana so hizo zikipatikana ila faida ni 16% na hasara pia ikipatikana ata-bare 16%.

Then hiyo kampuni itakatwa say corporate tax na kodi zinginezo. Kwahiyo mchanga sio wa kwetu ila yetu ni kodi na mrabaha otherwise dividends za 16% full stop .
 
Unachotaka kusema serikali ya Tanzania sio mbia wa Twiga minerals Ltd?
 
U
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Mataga huna info unabwatuka tubili ulipwe
 
Shida ni uwasilishaji wa lisu uliegemea upande wa mabeberu na maneno ya dhihaka ambayo hayakuonesha staha kwa anao washauri

1.serkali hii itashindwa tu watatupeka MIGA na tutapigwa tu na tutawalipa wao mapesa. Tundu lisu anandika ,hio haikuwa lugha ya kisheria na ushauri

2.Tukisema ameumbuka tunazungumzia kupata chochote nje ya kile lisu alichotuaminisha kuwa kuwa sisi ndio tutawalipa japo tumepata kidogo yeye alisema sisi ndio tutawalipa wao

3.lisu alianza kuwatumia acacia details za ndani ili aweze kushinda kesi huu ulikuwa ni uasliti kwa taifa na jamii ya wazalendo kama sisi

4.kuundwa kwa TWIGA kama kampuni kutakuwa kumemuuzia lisu na makanjanja wengine kuwa hii inchi ipo katika mikono salama

5kukamatwa kwa Deo na kundi lake pia kulionesha kuwa tuko mapema sana
Mkuu ni vizuri tuache kupotosha, kweli humpendi Lissu ila tusimlishe maneno
1. Lissu kwenye video ulioweka kasema kabisa ukitaka kumshinda Acacia ambao kawaita wezi. Ni kubadilisha sheria na kujitoa MIGA sasa hapo katutisha nini? Na Je serikali haikubadili sheria kabla ya mjadala?

2.Lissu hajaumbuka kitu maana ripoti aliyoita rubbish ilitupwa pembeni kwenye negotiation. Aliposema tutashtakiwa mpka tubadili sheria hajaumbuka coz tulibadili sheria kwanza, ingekua sheria zile zile alafu mkapata mlichopata ndio angekua kaumbuka!!

3. Lisu keshafungwa sana tu na hao Acacia/Barrick tokea miaka ya 90 kwa kuwaita mafisadi. Na kwenye clip kasema wanaiba zaidi migodinu kuliko kwenye makinikia sasa kivipi awasaidia kushinda kesi ilihali kawatonya serikali kwamba kule migodini ndio tunapopigwa haswaaa.

4. Hapana haiwezi muumiza maana hayo ndio maoni yake kwenye kitabu alichoandika kuhusu wizi wa madini ntaki upload humu alafu ujipime ww au yeye nani anafuraha zaidi (Hta kma hajasema hadharani)

5. Deo kawekwa ndani kma mfanyakazi wa ACACIA sasa hyo mikataba,sheria mbovu na kutorosha madini kuna collussion na vyombo kma TRA,TPA,wizara ya madini n.k sasa ni lini waliohusika upande wa serikali wataburuzwa mahakama ya mafisadi? Hvi kuna seriousness kwenye vita ya ufisadi?
 
Unachotaka kusema serikali ya Tanzania sio mbia wa Twiga minerals Ltd?
Hiyo video imetolewa lini? Maana mnadai Lissu alipotosha ndio nmeweka sawa hapo kuwa maadam hisa za JMT zilikua zile mandatory 16% basi ndio umiliki wake wa mchanga unaishia hapo.

Na ikumbukwe Twiga hao Acacia wanamiliki 84% sasa huo ubia unatoka wapi.... Hizo 16% ni sababu ya sheria tu ila sio kwamba mmeweka share capital
 
Nimeamua kuwa mchukia watu!!​
Nitamchukia yeyote anayejikomba Kwa Wazungu ili kuuza utu wetu​
Nitamchukia Yeyote anayetetea uwizi na dhuruma yoyote ya Wazungu nchini na Africa pia​
Kwani najua, Mzungu hajawahi kuwa na uchungu wa mtu yeyote mweusi, kila atakachokiwaza na kukifanya Kwa Africa ni Kwa ajiri ya maslahi yake zaidi​
Anawaza mabaya tu Kwa ajiri ya watu weusi,​
Hauna ubavu huo.
Ungekuwa mkweli japo kwa nafsi yako mwenyewe, chuki hiyo ingeanzia kwa waliopitisha kwa nderemo, sheria na mikataba mibovu ya madini.
Mmoja wao ni Mzee wa Chato na mwingine ni wa kwenu joka lenye makengeza.
Lakini bila ya aibu ETI unawachukia waliokuwa wanapinga yote hayo, muda wote.
 
Unajua shida humu watu hamsomi kabisa mnasubiri kelele za wanasiasa.

Mchanga kwa sheria zilizokuwepo ni wa muwekezaji (kampuni husika) anachouza si anapata faida?

Sasa serikali ndio inadai mrabaha wake wa 4% na pia kuna mandatory 16% ya hisa, sasa economic benefits zinazopatikana kwa mgodi kuwa Tanzania (Sio FAIDA) ndio wanagawana pasu kwa pasu. Faida za kiuchumi za mgodi zipo nyingi sana so hizo zikipatikana ila faida ni 16% na hasara pia ikipatikana ata-bare 16%.

Then hiyo kampuni itakatwa say corporate tax na kodi zinginezo. Kwahiyo mchanga sio wa kwetu ila yetu ni kodi na mrabaha otherwise dividends za 16% full stop .
Economic benefits ya 50% kwa 50% ni nini hasa?
 
Hiyo video imetolewa lini? Maana mnadai Lissu alipotosha ndio nmeweka sawa hapo kuwa maadam hisa za JMT zilikua zile mandatory 16% basi ndio umiliki wake wa mchanga unaishia hapo.

Na ikumbukwe Twiga hao Acacia wanamiliki 84% sasa huo ubia unatoka wapi.... Hizo 16% ni sababu ya sheria tu ila sio kwamba mmeweka share capital
Naomba ufafanue economi benefits kuwa 50% kwa 50% ina maana gani? Na kuweka ubia na mtu lazima uweke mtaji? Maana unaweza ukawa na madini ila ukaingia ubia na mwenye mtaji ili mchimbe.
 
Katika kipindi ambacho wanasiasa wa upinzan wanatakiwa kua makini na maneno wanayo ongea ni muda huu wa Rais John Pombe Magufuli sababu wanakuwa Kama wanajichafua wenyewe pale wanapo ongea kitu ambacho baadae kinaenda kuwa faida kwa yule ambae walitaka kumuathiri

Tukianzia kwenye Jambo la Corona kila siku linazid kuwazalilisha mbele za watu na kufanya Rais magufuli kuendelea kuwapa wakat mgumu

Mh tundulisu aliwahi kusema kua mchanga wa makinikia Sio Mali ya watanzania ni Mali ya wazungu na wanaweza kuupeleka popote pale wanapo taka bila kuulizwa na mtu yeyote Yan maneno Ayo alikua anayaongea mtanzania ambae anasema kila siku kua anataka kutuokoa watanzania kweli? Mh tundulisu wazungu walikupa nn ukafika mbali na kusema kua watanzania tutashtakiwa kes ambayo itatufiris sababu ya kuwaziwia wazungu kuchukua makinikia leo kiko wapi?

Mh Rais magufuli angelisikia maneno yako naiman mpaka sasaiv tungekua tumekubal kua makinikia Sio Mali yetu ni Mali ya wazungu japo ipo kwenye nchi yetu na kuacha waendelee kuchotea tu?

Ila kwakua Mh Rais John Pombe Magufuli Sio mzembe na Wala hajawahi kuogopa Wala kukata Tamaaa na anaamin kila kilichopo kwenye ardh ya Tanzania ni Mali ya mtanzania hakukubali ujinga uendelee kututawala akafanya maamuzi magum yalio fanya leo Tanzania tumetoka kidedea haki yetu ambayo ilipotea kwa muda mrefu imeanza kurejea

Pia nawashangaa wazee wa kupinga kila kitu hawana ata aibu eti sasahivi mada wameona ni serekal kukubali m200kulipwa kwa awam wakat mwanzo walibeza na kusema kua makinikia Sio Mali za watanzania Bali wazungu

Mh tundulisu embu ungama

Mob Uzi hii inajitegemea please Kama hamto jali na kwa ridhaa yenu msiunganishe huu Uzi kwenye Uzi zingine Mana Uzi zangu nyingi nikiweka zinapelekwa kwenye Uzi zingine asanteni

Tundu Lisu alikuwa anaongea hivyo kulingana na mkataba wenyewe, ni kweli umeandikwa hivyo, na ndiyo maana viongozi wetu wa sasa wamekuwa wakisema tuliingia mikataba ya hivyo hujawahi kuona.

Mtakumbuka yule boss wa Barick (John )alipofanya mazungumzo na JPM, alikiri kabisa, kwamba mikataba ile haikuwa fair, kwa lugha nyingine tulipigwa bao.

So Tundu Lissu alikuwa anaongea kulingana na mkataba unavyosema. Alikuwa hadanganyi. Walichofanya awamu ya 5 baada ya kubaini Yale madudu ni kuwaomba Barick watupatie angalau kifuta machozi, ndiçho kilichofanyika baada ya wao pia (Barick) kugundua kweli walitupiga.

Hivyo Tundu Lissu alikuwa anaongea kilichokuwemo kwenye mkataba. Alikuwa hadanganyi.
 
Economic benefits ya 50% kwa 50% ni nini hasa?
Kisheria kila provision ina definition yake mfano unaposema economic benefits mkataba unaweza specify labda ni R&D, HR dev't in terms of scholarship zinazotolewa,masoko mapya n.k it can be whatever.

Ila faida ya profit inatolewa kulingana na dividends ya share yako. Kwahiyo serikali ina 16% ina maana baada ya ACACIA kutoa gharama zao zote mpka kulipa madeni pesa inayobaki ndio serikali inaambulia 16% wao wanachukua 84%

Hauwezi kupewa faida ya 50% ilihali una hisa 16% pekee. Hiyo haipo duniani kokote wanadanganywa wasiokwenda shule ambao ndio wengi TZ.

Kwahiyo bado tunapigwa vile vile
 
Nitafuatilia kwa undani. Lakini huoni kwamba kuna mabadiliko tofauti na ule mrahaba wa 3%?
 
Back
Top Bottom