Tundu Antipas Lisu anajiamini sana, muogope sana Mwanasiasa asiyeogopa risasi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Kila nikikumbuka kifo cha kutisha cha Mwangosi wa hapa Unyaluni halafu nikikumbuka zile risasi 16 alizopigwa Tundu Lisu...duh

Halafu nikikumbuka Zitto Kabwe alivyogoma kutoka ndani ya Ukumbi wa bunge akiogopa kukamatwa na askari mmoja tu Mwenye kitambulisho na aliyevalia sare za Jeshi la polisi

Nahitimisha kwa kuukubali Ukweli kuwa Tundu Antipas Lisu ni JASIRI

Nawatakia Sabato Njema!
 
Ndio maana watu wa hivyo hawafai katu kuwa Marais ,huyo Tundu hatokuwa tofauti na yule mharibifu shujaa wenu uchwara Mwendazake.

Watu wa hivyo hujifanya Wana akili sana wengine wote ni useless na matokeo yake huishia kuwa madikteta.

Hata Nyerere alikataa kuishi na wapuuzi wa hivyo mfano wa Karume na yule Masai,kiufupi hawafai kuwa Viongozi wakubwa.

Huyo akipata Nchi yenye watu wenye akili anaishia kuwaoa wote kama Kim alivyowaoa wale wa North Korea.
 
Kila nikikumbuka kifo cha kutisha cha Mwangosi wa hapa Unyaluni halafu nikikumbuka zile risasi 16 alizopigwa Tundu Lisu...duh

Halafu nikikumbuka Zitto Kabwe alivyogoma kutoka ndani ya Ukumbi wa bunge akiogopa kukamatwa na askari mmoja tu Mwenye kitambulisho na aliyevalia sare za Jeshi la polisi

Nahitimisha kwa kuukubali Ukweli kuwa Tundu Antipas Lisu ni JASIRI

Nawatakia Sabato Njema!
nikikumbuka jamaa alikimbilia ubalozini asikamatwe ,halafu akapandishwa ndege akatokomea majuu nachoka kabisa.....

Sabato njema Sanaa..
 
Mbinu ya medani hata hivyo Jiwe ni wa kaliba yake alikuwa anaenda kummaliza.Sasa hivi anafanya haya Kwa sababu anafahamu fika kabisa kwamba Mama hana Moyo wa ukatili na analazimika na kulazimishwa na system so he is 100% sure kwamba hatofanywa chochote.
 
Kila nikikumbuka kifo cha kutisha cha Mwangosi wa hapa Unyaluni halafu nikikumbuka zile risasi 16 alizopigwa Tundu Lisu...duh

Halafu nikikumbuka Zitto Kabwe alivyogoma kutoka ndani ya Ukumbi wa bunge akiogopa kukamatwa na askari mmoja tu Mwenye kitambulisho na aliyevalia sare za Jeshi la polisi

Nahitimisha kwa kuukubali Ukweli kuwa Tundu Antipas Lisu ni JASIRI

Nawatakia Sabato Njema!
kwa msiojua, Lisu ndiye Rais ajaye 2025. kama aliwahi kuwaambia wenzake (kwa kitabu cha dr slaaa) waingie hata na mkataba na shetani alimradi tu wachukue nchi, ameenda amekaa ulaya na mashetani wa ulaya muda wote huo, wanamsapoti, unafikiri watakuwa hawajamuingiza freemason ile ya kina obama, blare na wakuu wengine? sipendi kuongozwa na mashetani lakini ukweli ni kwamba kwa dunia ya leo hakuna kiongozi asiye wa shetani, na Mungu anaamua kuwatumia hivyohivyo kama alivyomtumia Nebukadneza. Ukimwangalia vizuri, haugopi, na ana uwezo mkubwa sana kushawishi kuliko awali, hoja zake sasahivi ni nzito zaidi, ameshakaa kwenye kitu cha shetani, pambaneni nyinyi kwa nyinyi mashetani ya ulaya na uchawi wa pemba. mkimalizana mtuambie sisi tumekaa paleee.
 
Zito Kabwe kashakufa kisiasa
 
Yes,
I m sure atakua Rais wa Twitter 2025. Hili nina uhakika, sina chembe ya shaka ni 100% Twitter Republic President.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom