Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Mhe Tundu lissu kasema Rukhsa kuwaingilia wana CCM lakini mambo Chumbani yabaki Chumbani.
Wewe ni
1548064590684.jpeg
 
Hadi wanapatwa na matumbo ya kuhara, muda wote wanashinda tu chooni kukalia vyoo vya sink
Wewe wala english hujui wala uwezo wa kumwelewa stephen suckur wa hard
tallk huna. Ungelewa ulivyo nyumbu ungelia.
 
m

Tundu lissu limejionyesha mbele ya ulimwengu lilivyo jinga. He has been grilled like meat. Chezea hardtalk. Alifikiria atawadanganya hardtalk kama anavyowadanganya nyumb wa cdm. Hardtalk yuko well versed kuhusu mambo ya tanzania. Hapo lissu ni kigereza tu ndio anajua lakini siasa ni kibaraka takataka. Nimefurahi sana huyu mpuuzi kwenda hsrdtalk.

Takataka ni wewe mwenyewe juha acha ushamba wako nyumbu ni CCM maana ndiyo hudanganyika mpaka trilion 1.5 imepigwa wametulia, hata mbugani serengeti nyumbu ni wengi zaidi kama CCM walivyokuwa, kibaraka ndiyo nini hujui hata maana ya kibaraka umekariri ulivyotumwa na cyprian Musiba? Tambua kuwa Tundu Lisu asingekuwa Ulaya leo kama sio wewe na wenzako kumpiga Risasi kwa nia ya kumuua, hivvyo wa kulaumiwa ni wewe ambaye ni chanzo na pia ulitaka Tundu Lisu akae kimya? Acha ufala wako lazima Tundu aanike Ukweli apate kuisaidia kambi ya upinzani ambayo inataabika kwa udikteta mtukufu na Naibu Rais ndugu Bashite.
 
Nimesikiliza Hard Talk ya BBC. imethibitisha uwezo mdogo wa Lissu kuelewa mambo. Kinachoshangaza ni jinsi mtu huyu anavyokuwa nje ya maswali. Kila wakati anahangaika kusimulia alivyopigwa risasi badala ya kujibu anachoulizwa.

Anapoulizwa suala la ushoga, alitaka kukwepa kwa kuonyesha eti serikali inaingilia mambo ya bedroom lakini mtangazaji ana uelewa kuliko yeye anamrudisha kwenye swali. Jibu lake anajiuma-uma, anajiuma-uma tena na kujikuta analazimisha kujibu kwamba atatetea haki za kila mtu, akimaanisha hata ushoga ni haki kwa mujibu wa haki zetu. Hiyo iko tofauti na jinsi alivyoanza kukubali kwamba kuna sheria ya miaka mingi inayozuiya ushoga. Jibu hili naamini alikuwa akijaribu kumfurahisha muulizaji badala ya kuisemea jamii ya Tanzania. Je, Kweli Lissu anaamini anachofikilia ndicho wa-TZ wanachokitaka? Au basi ni kiumbe asiyejielewa?

Mbona mnaagaika na Lissu kuzidi Lissu anavyoagaika na nyie
 
Hahaa buku 7 tu ndio inayo kufanya uje ujidhalilishe kiasi hiki humu " ... ile interview mbona watu wengi tumeitazama " na mwisho wa siku tutakubali kuwa lissu ni great thinker mkubwa " thats why anaisumbua ccm _ kwa sababu imejaza vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*LISSU ATAABIKA SANA, AISHIA KUAIBIKA LONDON, ABANWA VIKALI NA KUTOA MAPOVU*

_NA Mwamba wa Kaskazini_

Leo ndio msemo kuwa Kiingereza sio maarifa umethibitika.

Tundu Lissu ana uwezo wa kutosha tu kuongea Kiingereza lakini asubuhi ya kuamkia leo kukosa maarifa kujawa na umbea, uongo na uzushi na uzandiki dhidi ya nchi yake kumemtokea puani akifanya mahojiano na Kipindi cha Hard Talk cha BBC.

Sikiliza haya.

*1.Aonesha Chuki Binafsi Kwa Magufuli*

Kosa la kwanza ni kutojadili hoja bali mtu.Kila alipoulizwa aliishia kutaja jina la Magufuli hata asipohusika.

Mtangazaji mzungu akabaki anashangaa na kumbana kwa maswali zaidi akaishia kutoa macho maskini.

*2.Lissu Hakutegema*

Hakika hata mimi sikutegema kama yule mzungu angefanya utafiti kiasi kile na kuyajua mengi ya Tanzania kiasi cha Lissu mwanzoni tu kubabaika na kuanza kuzusha uongo.

*3. Jaribio la kumdanganya Mzungu lakwama*

Baada ya kuzoea kuandika viwaraka vyake na kuwapa akina Martin Malera wa Tanzania Daima au Ibrahim Yamola wa Mwananchi leo Tundu Lissu kakutana na mwanahabari wa level nyingine.

Akajikuta anakosa ushahidi...anaambiwa unalalamika kila siku Serikali imekushambulia, unaushahidi gani anasema niliona gari inanifuatafuata, mzungu akambana kwani gari ziko ngapi na mtu yeyote si anaweza kukufuatilia kwani umeshafanya kazi ngapi za kukuweka katika risk ikiwemo kuwa wakili, Lissu akajikuta anakiri kuwa ni kweli hana ushahidi wa moja kwa moja bali ushahidi wa mazingira.

Asante sana mzungu, huyu Bwana leo baada ya mbwembwe nyingi sasa kakiri hana ushahidi zaidi ya mazingira tu ambayo pia yanaweza kuonesha chama chake kinahusika au hata dereva wake.

*4.Akosa maarifa kwenye madini*

Maskini hapa ndio jamaa alitoa mimacho tu baada ya mzungu kumbana kuwa yeye alipigania sana masuala ya nchi kufaidika na madini haoni kuwa JPM anachukua hatua nzuri?

Kwa hakika na mimi hapa nilipoteza Kiingereza changuSikumbuki hata Lissu alikuwa anajibu nini, aliishia maskini kutaabika na kuruka ruka huku na kule.Mzungu akaona isiwe shida, akahamisha mada!

Kwa kifupi hapa Lissu alijikuta anatamani kumpinga Magufuli, lakini pia akawaza anampinga kwa lipi?Kurekebisha mikataba ili nchi ifaidike? Akabaki anataja taja tu majina mara uwanja wa ndege Chato wakati nchi nzima vjwanja zaidi ya 15 vinajengwa

*5.Mtangazaji aamua kutaja mwenyewe mazuri ya Tanzania.*

Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.

Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.

Usiniulize wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa kwenye hali ganiKumbuka mwenyewe kisa cha chura aliyebanwa na mlango

*6. Atoa mfano wa kitoto, wamuumbua*

Akieleza kwa nini wapinzani wenzake wamekuwa wakirejea CCM kuunga mkono juhudi za JPM Lissu aliishia kirusha matuhuma ambayo hadi mtangazaji akamuonya aache kuropoka bil ushahidi.

Lakini yotrme hii ni kwamba alishachanganyikiwa. Sasa sikia hii: akapewa mfano wa Masha aliyetoka CCM na kwenda upinzani (ingawa badae alirudi CCM) kama naye alihongwa huko upinzani? Usiniulize Lissu alikuwa katika hali gani hapa tena

*7.Akata fahamu, aunga mkono ushoga*

Akiwa hoi bin taaban na kisaikolojia akionekana mtu anayetamani mahojiano yaishe tu, Lissu akaulizwa ukiwa kiongozi wa upinzani na siku ukiingia Ikulu utafuta sheria zinazoelezwa kuwa kandamizi zinazoufanya ushoga kuwa kosa la jinai?

Maskini, mwisho wa zama ukatimia, baba la watu likajikanyagaaaa mwishowe likaingia kingi eti litafuta sheria zote zinazozuia ushoga nchini.Maweeeee

Rasmi Lissu kaunga mkono ushoga. Hakika ametaabika sana.

Kwa nini utaabike lakini?
Nilikua najaribu kupitia profile yako, naona machapisho yako mengi zaidi ya 90% unaisifia serikali na kuwaponda wapinzani, unamponda sana Lissu.

Nadhani achana na mengine vaa ubinadamu uwe wewe ndio Lissu upigwe 16 bullets mwilini.

Inawezekana hata risasi moja tu ungekufa.

Lissu kwa alichotendewa hawezi kuipenda serikali hii hata kidogo kwa sababu zifuatazo:
1. Serikali haijampa msaada wakati anaumwa(kwa maana ya Bunge).
2. Serikali mpaka leo haijahangaika kutafuta aliyemdhuru Lissu, hivi kwanini Lissu asifikirie kwamba Serikali ndo inahusika?
3. Serikali kung'oa kamera za ulinzi kwenye eneo la tukio bila sababu za msingi.
4. Serikali kukaa kimya na hata kutomtembelea Lissu wakati anaumwa.

Hivi uliona wapi uzalendo usiokua na returns?
Uzalendo wa kutetea serikali na viongozi wake na sio nchi, uliona wapi uzalendo wa namna hiyo?
Hakuna uzalendo kama mwenzio analala ndani wewe unalala nje.

Watanzania wengi tuna unafiki ili kupata mkate wa kila siku.
Jiangalie mwenyewe mleta mada uko kundi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa video nimeiangalia yote... Huyu mzungu kafeli kwenye hard talk yake na hayuko neutral, na maswali yake yamebase kwenye takwimu zinazotolewa na serikali na organs zake.... Lissu anaongelea uhalisia wa Tanzania na Mtanzania, point kwa point ana msingi wa kile anachojibu lakini mzungu anauliza vile anavyovisikia bila kuhoji uhalali na uhalisia wake

Jr
Ndio maana ya HardTalk....hatakiwi kuwa neutral bali provocative...kumfanya anayehojiwa ajibu maswali magumu ya anachokiamini au asichokiamini....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie mliposema kwamba kuhusu kukataza ushoga ni msimamo wa mkuu wa mkoa wa DAR na sio msimamo wa serikali yenu,si inamanisha mliukubali,na nyie mnajielewa?

'You can do anything but not everything'
 
Hiyo siyo tasiri, ni deduction ya maelezo yake:
Anzia dk 20:00 - 21:04 ya interview hiyo! Pse! wengine hiyo ni lugha yetu ya kwanza.
Sasa lugha yako ya kwanza unaijua kwa mawenge vipi ya pili na ya tatu? Maana anachoongea ni tofauti na mawazo yako uliyobandika hapa. Ndo maana nikakuuliza hiyo ni tafsiri binafsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*LISSU ATAABIKA SANA, AISHIA KUAIBIKA LONDON, ABANWA VIKALI NA KUTOA MAPOVU*

_NA Mwamba wa Kaskazini_

Leo ndio msemo kuwa Kiingereza sio maarifa umethibitika.

Tundu Lissu ana uwezo wa kutosha tu kuongea Kiingereza lakini asubuhi ya kuamkia leo kukosa maarifa kujawa na umbea, uongo na uzushi na uzandiki dhidi ya nchi yake kumemtokea puani akifanya mahojiano na Kipindi cha Hard Talk cha BBC.

Sikiliza haya.

*1.Aonesha Chuki Binafsi Kwa Magufuli*

Kosa la kwanza ni kutojadili hoja bali mtu.Kila alipoulizwa aliishia kutaja jina la Magufuli hata asipohusika.

Mtangazaji mzungu akabaki anashangaa na kumbana kwa maswali zaidi akaishia kutoa macho maskini.

*2.Lissu Hakutegema*

Hakika hata mimi sikutegema kama yule mzungu angefanya utafiti kiasi kile na kuyajua mengi ya Tanzania kiasi cha Lissu mwanzoni tu kubabaika na kuanza kuzusha uongo.

*3. Jaribio la kumdanganya Mzungu lakwama*

Baada ya kuzoea kuandika viwaraka vyake na kuwapa akina Martin Malera wa Tanzania Daima au Ibrahim Yamola wa Mwananchi leo Tundu Lissu kakutana na mwanahabari wa level nyingine.

Akajikuta anakosa ushahidi...anaambiwa unalalamika kila siku Serikali imekushambulia, unaushahidi gani anasema niliona gari inanifuatafuata, mzungu akambana kwani gari ziko ngapi na mtu yeyote si anaweza kukufuatilia kwani umeshafanya kazi ngapi za kukuweka katika risk ikiwemo kuwa wakili, Lissu akajikuta anakiri kuwa ni kweli hana ushahidi wa moja kwa moja bali ushahidi wa mazingira.

Asante sana mzungu, huyu Bwana leo baada ya mbwembwe nyingi sasa kakiri hana ushahidi zaidi ya mazingira tu ambayo pia yanaweza kuonesha chama chake kinahusika au hata dereva wake.

*4.Akosa maarifa kwenye madini*

Maskini hapa ndio jamaa alitoa mimacho tu baada ya mzungu kumbana kuwa yeye alipigania sana masuala ya nchi kufaidika na madini haoni kuwa JPM anachukua hatua nzuri?

Kwa hakika na mimi hapa nilipoteza Kiingereza changuSikumbuki hata Lissu alikuwa anajibu nini, aliishia maskini kutaabika na kuruka ruka huku na kule.Mzungu akaona isiwe shida, akahamisha mada!

Kwa kifupi hapa Lissu alijikuta anatamani kumpinga Magufuli, lakini pia akawaza anampinga kwa lipi?Kurekebisha mikataba ili nchi ifaidike? Akabaki anataja taja tu majina mara uwanja wa ndege Chato wakati nchi nzima vjwanja zaidi ya 15 vinajengwa

*5.Mtangazaji aamua kutaja mwenyewe mazuri ya Tanzania.*

Baada ya kuona Lissu hana analolikubali katika nchi yake mzungu wa watu akaamua kutaja mwenyewe mageuzi makubwa yanayoendelea Tanzania.

Akataja mapambano dhidi ya rushwa, akataja kuongezeka kwa mapato akataja kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kijamii na miundombinu.

Usiniulize wakati wote huu mzungu anashusha nondo Lissu alikuwa kwenye hali ganiKumbuka mwenyewe kisa cha chura aliyebanwa na mlango

*6. Atoa mfano wa kitoto, wamuumbua*

Akieleza kwa nini wapinzani wenzake wamekuwa wakirejea CCM kuunga mkono juhudi za JPM Lissu aliishia kirusha matuhuma ambayo hadi mtangazaji akamuonya aache kuropoka bil ushahidi.

Lakini yotrme hii ni kwamba alishachanganyikiwa. Sasa sikia hii: akapewa mfano wa Masha aliyetoka CCM na kwenda upinzani (ingawa badae alirudi CCM) kama naye alihongwa huko upinzani? Usiniulize Lissu alikuwa katika hali gani hapa tena

*7.Akata fahamu, aunga mkono ushoga*

Akiwa hoi bin taaban na kisaikolojia akionekana mtu anayetamani mahojiano yaishe tu, Lissu akaulizwa ukiwa kiongozi wa upinzani na siku ukiingia Ikulu utafuta sheria zinazoelezwa kuwa kandamizi zinazoufanya ushoga kuwa kosa la jinai?

Maskini, mwisho wa zama ukatimia, baba la watu likajikanyagaaaa mwishowe likaingia kingi eti litafuta sheria zote zinazozuia ushoga nchini.Maweeeee

Rasmi Lissu kaunga mkono ushoga. Hakika ametaabika sana.

Kwa nini utaabike lakini?

LABDA HUELEWI KIZUNGU, TUNDU LISU KAELEZA VIZURI SANA
 
Back
Top Bottom