Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Asante kwa video nimeiangalia yote... Huyu mzungu kafeli kwenye hard talk yake na hayuko neutral, na maswali yake yamebase kwenye takwimu zinazotolewa na serikali na organs zake.... Lissu anaongelea uhalisia wa Tanzania na Mtanzania, point kwa point ana msingi wa kile anachojibu lakini mzungu anauliza vile anavyovisikia bila kuhoji uhalali na uhalisia wake

Jr
Mzungu yupo sahihi. Anahoji kwa basis ya data na diyo lisu ajibu kwa kupangua. Pia yupo neutral kabisa kwa maana anamuhoji mpinzani lazina amuhoji yale anajigamba NAyo jiwe ili ayajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hajaunga mkono ushoga.

..sana sana amesisitiza siyo kazi ya serekali kuchungulia raia wake wakifanya mambo yao vyumbani.

NB.

..Jiwe yeye alimkaribisha BABU SEYA ikulu. Sasa huyo unaweza kusema anapinga ushoga?
 
Uraisi apate wapi nae huyo bana, wamemdanganya tu, kama sivyo waliomtuma wanapima upepo, sasa mtu mwenyewe anaongea kwenye hard talk kiingereza tena usiku mkubwa, waliokuwa macho ni vijana wake wa mitandaoni tu, mbaya zaidi kiingereza, yaani kiufupi ujumbe wake haujafika, umepotea teyari, labda kama wapiga kura wake ni wazungu!
Na wewe ni kijana wa wapi?

Mnaumia kwani?

Tehe tehe tehee....kama vipi kachukue lile lifimbo la ndugai alilompiga nalo mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hajaunga mkono ushoga.

..sana sana amesisitiza siyo kazi ya serekali kuchungulia raia wake wakifanya mambo yao vyumbani.

NB.

..Jiwe yeye alimkaribisha BABU SEYA ikulu. Sasa huyo unaweza kusema anapinga ushoga?
Afadhali ya ushoga kuliko ya babu Seya.

Jiwe ana entertain pedophiles? Hatari kuliko hatari yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaleta maelezo yako kutoka katika fikra zako!

Mimi nimekuwekea kile ambacho Lissu amesema,

Halafu jiwe anaingiaje hapa kwenye mawazo ya Lissu? Kwa hiyo kama alimkaribisha Babu Seya ikulu itahusiana nini na alichokisema Lissu.

..msimamo wa Tundu Lissu ni sawa na msimamo wa Dr.Mahiga, ambao ni msimamo wa serekali.

..alichosema ni kwamba serekali haipaswi kuchungulia wananchi ktk vyumbani. Na huo ndiyo umekuwa msimamo wa serekali zote nchi hii.

NB.

..suala la kuchungulia wananchi ni la Makonda hata siyo la Jiwe.
 
Ninyi baada ya lile jaribio lenu la kutaka kumuondoa Mh Lissu duniani kushindikana, mliamrishwa kumtenga kama vile sio binadamu anaestaili kuishi na pia sio raia wa nchi hii. Ifike mahali sasa muone aibu kwa maneno yenu ya kejeli kwake. Kama mlivyoamriwa kumtenga basi iwe na hata kwa maneno yenu. Mlaumuni Muumba wa Mbingu na nchi aliyempigania uhai wake hadi hivi sasa. Sote tunaona tabasamu lake na wala haonyeshi kuwa na kinyongo kwa wale maharamia wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..msimamo wa Tundu Lissu ni sawa na msimamo wa Dr.Mahiga, ambao ni msimamo wa serekali.

..alichosema ni kwamba serekali haipaswi kuchungulia wananchi ktk vyumbani. Na huo ndiyo umekuwa msimamo wa serekali zote nchi hii.

NB.

..suala la kuchungulia wananchi ni la Makonda hata siyo la Jiwe.
Key words ya majibu ya Lissu ni haya;
’If they violate and I think they violate the right to privacy''
Kwa maana nyingine Tundu Lissu anasema sheria ya kuzuia ushoga inavunja haki za faragha.
 
Back
Top Bottom