Tunaweza kumsaidia vipi Daktari huyu ili na yeye atusaidie?

Jamani JF mbona mko hivi? Mwizi mkamateni lakini sifa yake mpeni. Wazo la heart institute ni lake hivyo kama hataki kushirikisha mtu sioni tatizo. Kwaini alipokuwa na lile tatizo na NSSF hao uanaotaka awashirikishe walimsaidia? He needs to be applauded greatly.>

Anastahili kusaidiwa kwa kweli. Kazi anayofanya ni nzuri na itaokoa fedha nyingi za kigeni.UOTE]

Sasa mkuu, utamsaidia vipi mtu ambaye hajataka msaada wako? Hao wamarekani kawafuata kawaomba msaada, wamekuja kumsaidia, je amewafuata wataalamu wenzake wamsaidie jinsi ya kukamilisha ndoto hiyo nzuri?
 
Back
Top Bottom