Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Hii thread nzima ni kwa ajiri ya mchango wa Prof. Ken Edwards.
Sawa, thread ni "kwa ajiri ya mchango wa Prof. [Joshua Nkhululi]."
Joshua Nkhululi ni nani ki-background? Alipata elimu gani, wapi na lini. Huku tukijadili mchango wake, tumjue.
Lazima Game Theory anajua, yeye ana umri mkubwa kuliko wengi wetu, na hivyo kasomeshwa na huyu mwalimu, tofauti na sisi ambao hatukubahitika (logic yake yeye, si yangu).
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA ...Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania