Tunavyosutwa na Prof KEN EDWARDS

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Najua wengi wenu humu bado umri wenu ni mdogo hivyo hamkubahatika kusomeshwa na huyu SHUJAA aliyeamua kuweka mbele UZALENDO mbele ya UBINAFSI na aliamua kuinvest JASHO na DAMU yake kwa ajili ya nchi hii tangu alipoamua kuondoka kwao Jamaica miaka ya 60..

Prof Edwards ndie mwanzilishi wa KITIVO CHA BIASHARA pale UD na amewasomesha watu wengi na wengine leo ni mawaziri na mabosi wa mashirika mbali mbali Tanzania

Hakuishia hapo aliamua kwenda kuanzisha chuo cha BIASHARA kule Arusha na leo serikali yetu ya KIFISADI inajidai ni chake na kwa kusudi walimnyima huyu mzee URAIA huku majitu kama akina Subash Patel wakipewa uraia, waliamua kumtelekeza wakati anaumwa mpaka umauti ulipo mfika

Sisi wana JAMII FORUMS tunapenda kuinyesha hii serikali ya kidhalimu kuwa in this day and age ambayo we cant find HEROES kuwa tutamuenzi na tunauomba uongozi wa UD wamuenzi halau hata kwa kukipa kitizo cha BIASHARA jina lake

Inna Lillahi Wa Inna Illahi Raj'uun

Mwenye picha tafadhalini wekeni hapa na btw huyu jamaa alioa Mwanamke wa Kitanzania enzi hizo...mazishi yameahirishwa mpaka WEEKEND ijayo...kama kuna watu wenye michango na ideas za namna ya kumuenzi huyu Shujaa tafadhalini leteni mawazo yenu mimi niko close na jamaa wanaotaka kumfanyia kitu japo Serikali bado imegoma hata kutuma salam za rambi rambi


WASIFU WA PROF KEN EDWARDS​

Prof. Ken Edwards

A Memorial Tribute to a Selfless Leader

by Mussa J. Assad – University of Dar es Salaam Business School

Prof. Joshua Mkhululi [former name Ken Edwards] died on Wednesday 18th March, 2009 at Arusha. He was 64 – a young age by modern standards. It was sudden and unexpected for most of us. It was later explained that he had a liver problem and that was what he succumbed to. But as recent as Monday 16th March 2009 Prof. Ken Edwards had spoken to a mutual friend in Dar es Salaam, full of hope and anticipation of things to come. For this was a person of ideas and implementation.
One of his final acts was mobilizing support for establishment of the Africa University of Economic Management to which he devoted a lot of time and resources, especially in the past year.

Therefore, it was with deep sorrow that we received the news of the demise of Prof. Ken Edwards. At the University of Dar es Salaam Business School [formerly the Faculty of Commerce and Management], an institution that is his brainchild, we had a quick meeting to plan our way of honoring this great man. We would be at Arusha to lay him to rest in large numbers – by all means necessary.


Prof. Ken Edwards was born in Jamaica on 22nd January, 1945. He loved and listened to reggae – after all he was a Rastafarian. He had the unique privilege of being a personal friend to Bob Marley with whom they had attended early school together. He was a graduate of California State University and Stanford Graduate School of Business. These are top US schools – a qualification from which would open all doors for a graduate and guaranteed success. However, rather than take a good position across the Atlantic he came home to Africa and initially settled in Dar es Salaam.


Prof. Ken Edwards was a teacher in the true sense of the word – concerned not only with the content and delivery but also the welfare of the student. As a leader his dedication and sense of purpose was unparalleled. He was one of a special kind – giving everything in what he believed in. He was tough and intolerant of lousy conduct but he was fair and just. There are many tales of his feats but at one time there was a case of examination leakage involving only two people – a student and a lecturer. The student was the daughter of a politically powerful person and the lecturer was a good friend of Ken Edwards. To cut a long story short despite the political flak he was subjected to he ensured the student was discontinued from studies and he sacked his friend. How many of us would do this kind of thing?

My personal experience with Prof. Ken Edwards was in 1988 [I had just started as a Tutorial Assistant] after he had left the University of Dar es Salaam. We bumped into each other on the ground floor of the Arts Tower Block Building, Mlimani Main Campus as we approached the lift – a tall jovial person emerges and he says ‘Yea Man' and I acknowledge the regard with respect. He inquires about my CPA results and he wants to know whether I had admission and scholarship to a Masters programme. He was not formally with the University of Dar es Salaam and he did not have to know how I was doing but this was Ken Edwards. His concern was welfare of the people he cared about and that included everyone. ‘Go buy yourself something' he says giving me One Thousand Shillings [not a small sum in 1988] as a present upon hearing that I had cleared the CPA 1 examinations single sitting and scooped the top award. He also offered me contacts in the US of Deans and Chairs of Departments to whom he would put a word in consideration for a place for a Masters programme. He was a true leader and an excellent motivator. I am eternally inspired by this gentleman for he was a true gentleman.

I know those of you who had encounters with Prof. Ken Edwards would have your own tales to tell.

During his time at the University of Dar es Salaam he was the inspiring lead in spinning off the Faculty of Commerce and Management from the Department of Administration and Management of the Faculty of Arts and Social Sciences. He was the first Dean of the Faculty and what that entailed was - he developed, largely from scratch, the academic programmes, the administrative structures and the staffing required to mount everything that the Faculty of Commerce and Management did and can be proud of today. Of course he had the assistance of some of our oldmen who are now retired. They take credit too but today it is Prof. Ken Edwards' efforts that we want to recognize. It was, for example, Prof. Ken Edwards who made the solicitation tour of European universities that generated fully funded links with top European universities [KU Lueven, Dublin City University, Lancaster University and Sheffield University, etc] to which most of the staff of the Business School went to study and graduated from.

Prof. Ken Edwards was into sports and was a good trail runner. I recall the Faculty Days when we would do all kinds of sports just to build camaraderie and a close knit family of students and staff. He was very active at the community level - he started and financed a football team for youths at Kunduchi Mtongani. He was literally the sole sponsor, coach and manager. Most of the days, after working hours he would drive all the way to Kunduchi to be with his team. But he would come back to the office afterwards. As a true business academic he also organized the football team members into a cooperative society. His manual on Basic Accounting includes the example of the football team cooperative as a model for organizing a cooperative.

Prof. Ken Edwards worked tirelessly for this country and I must mention one other large contribution that he made to the Accounting profession. He started from the idea stage, solicitation and mobilization of funds, up to implementation the Institute of Accountancy at Arusha and he was its first Principal. This is what took him from Dar es Salaam to Arusha and he dedicated himself to IAA for 22 months without a formal contract and largely unpaid. And this is the sad part that I must highlight. As recent as the end of 2005, nearly 17 years after he left IAA he had not been paid a single cent of his outstanding salaries, his gratuity and any of his entitlements. He trusted people in decision making positions would do justice and they consistently failed to do that! I did his claim on a simple MS Excel model and his dues ran into a large amount of money as at the end of 2005, when we last did the computations. I have the old Excel model with me now on my screen. I am informed that he was offered and had to settle for a small sum of money not long ago. This is not what we would have wanted to pay back somebody who did so much for this country.

But even a sadder note is he never got issued a Tanzanian passport – and he had longed and asked for one. I hear in his final days he could not be taken for immediate medical care partly because he did not have a Tanzanian traveling document. In fact he did not have any other traveling document. He had dedicated himself wholly and truly to this country! I still struggle to see what were the reasons for not issuing this true son of this nation a Tanzanian passport. Many of us are ashamed that this could be perpetrated on a person of his repute. Were it possible to issue a ceremonial passport to the dead many would have petitioned for his case.

We shall overcome this grief of losing Prof. Ken Edwards but we must now consider ways of honoring this great man. And here are some suggestions:

A once off commemorative half day of intellectual activity as soon as possible but in any case before the end June 2009 to celebrate what he stood for at the first institution he started and worked with – University of Dar es Salaam Business School. Anticipating a good reception this could turn into the Prof. Ken Edwards Memorial Lecture Series to be held on an annual basis;

Sponsoring the Prof. Ken Edwards Prize for Year 1, Year 2 and Year 3 Overall Best Students in the Bachelor of Commerce Degree Programme at the University of Dar es Salaam. And perhaps at IAA too;

Prof. Ken Edwards Chair in Accounting and Finance;

Now if one can sponsor a long term Prof. Ken Edwards Scholarship for an MBA student contracted to becoming a business studies academic it would be a real bonus.

Prof. Ken Edwards is survived by a widow, four daughters and two sons. He will be laid to rest on Saturday 28th March 2009 at Arusha.
 
Last edited:
Huyu jamaa alimfundisha hata mzee wangu pale mlimani miaka hiyo kiasi cha kumfanya mzee wangu amkubali mno mpaka kumuenzi kwa kumpa mtoto wake jina na mwalimu huyo na bahati nzuri mtoto huyo ndio mimi. RIP Prof Ken Edwards
 
...na tunauomba uongozi wa UD wamuenzi halau hata kwa kukipa kitizo cha BIASHARA jina lake...

Wazo zuri sana lakini inaelekea halikuwamo katika akili za wahusika maana kazi ya kuanzisha business school karibu itakamilika na haijawahi kugusiwa kuwa itapewa jina la HERO huyu
 
Simfahamu wala sijawahi kumsikia. Ila kwa kusoma maelezo ya GT na wengine, naungana na ndugu wote na jamaa na marafiki kutoa pole zangu za rambirambi na pia kama chuo kipewe jina lake na au walau bweni moja pale UDSM lipewe jina lake kwa ukumbusho. Pia kunaweza kujengwa kimtaa kikapewa jina lake. Wakubwa wote waliosomeshwa na mtu huyu basi waungane na kupigia kelele dhambi ya kumuonea huyu MTANZANIA HALISI.

Niliangalia Comedy ya Chrissy Rock. Jamaa anasema kuwa "kuzaliwa USA hakukufanyi uwe Mmarekani halisi". Akasema, wale walioipigania USA, wao wana haki kabisa kusema ni wa USA. Wale waliokuja kwenye mitumbwi ya matairi ya gari, wale nao ni wa USA hasa. Hii inampa haki kabisa huyu marehemu kwa kutupigania wanyonge na kubadili maisha yetu kuwa ni MTANZANIA HALISI.
 
GAME THEORY,you have said he gave all his efforts to the tanzanian cause since the sixties,despite all this,he was refused citizenship.this i believe was during the Nyerere era.why was he given a refusal?was there a reason?
 
maana ukilinganisha huyu jamaa ambaye alikuwa anaishi kwa mishahara tuu mambo aliyoyafanya ni makubwa mno na hayana mfano

Nasikia jamaa alikuwa na obsession with quality and standards pale chuoni

To be fair binafsi sijafundishwa naye lakini mwezi uliopita nilikuwa na mtu akampigia simu na walikuwa wana organise namna ya kumpeleka India kwa ajili ya matibabu

kinachouma ni kuwa we dont have HEROES anymore na wachacxhe kama KEN EDWARDS ndio wanatutoka kila kukicha...surely i dont think kama wale wadosi wa RADA wanaqualify kuitwa heroes na walipewa citizenship sembuse huyu Ken Edwards?

anyway nitaendelea kuchunguza kujua kwa nini hao wahusika walimnyima uraia
 
Mwenye picha tafadhalini wekeni hapa na btw huyu jamaa alioa Mwanamke wa Kitanzania enzi hizo...mazishi yameahirishwa mpaka WEEKEND ijayo...

GT,

Kwa wale wote watakaotaka kuhudhuria mazishi au michango kwa namna moja au nyingne basi kwa michuzi kuna maelezo mazuri sana.

Pia huko kuna picha ya Marehemu. Mtu akitaka kwenda basi unaweza kuingia hapa na kwenda moja kwa moja kwenye picha na maelezo.

MICHUZI

NB: Hivi hawezi kupewa URAIA wa Tanzania wa haraka haraka na akazikwa kwa heshima ya KITANZANIA? Maana sijui kama bado Mjamaica/USA.
 
RIP Ken Edwards. Nakumbuka wakati tupo pale UDSM miaka ya 80, alikuwa mtulivu, mpole na wala hakuwa na makuu. Ameonyesha uzalendo kwa Tanzania, amefia Tanzania. I salute you Ken! We will miss you.
 
kumbukumbu zangu ni a bit shady,but we all know zama hizo rastafarians ni watu waliogopewa na society zetu,maadili yao yalikuwa hayaeleweki na jamii zetu.JE alikuwa ni prof ken aliyekutwa in possession of marijuana au nimechanganya na another jamaican lecturer at the University of dsm
 
kumbukumbu zangu ni a bit shady,but we all know zama hizo rastafarians ni watu waliogopewa na society zetu,maadili yao yalikuwa hayaeleweki na jamii zetu.JE alikuwa ni prof ken aliyekutwa in possession of marijuana au nimechanganya na another jamaican lecturer at the University of dsm

Ni non issue kwa sasa. Upumzike kwa amani Prof. Ken Edward. Utakumbukwa vilevile kwa mchango wako ktk ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa.
 
Inasikisha kama kweli yaliyosemwa kuhusu uraia ni kweli, lakini pia inatoa changamoto jinsi ya kuwa wazalendo katika nchi uliyo na mapenzi nayo.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
 
Nkamangi Mkuu, thanks for reminding us; indeed the late Prof. Ken Edwards had changed his name to JOSHUA NKhululi!!
 
..R.I.P Proffesor Ken Edwards.

..ni kwasababu tumeweka mbele siasa na kuwaabudu wanasiasa ndiyo maana michango ya wananchi kama hawa haijulikani wala haitambuliki.

NB:

..mbona suala lake la uraia linaonekana jepesi ukizingatia kwamba mkewe ni Mtanzania?

..hivi muda wote ambao ameishiTanzania akiwa ameajiriwa na serikali amekuwa akisafiri na pasi ya Jamaica? au hajawahi kutoka Tanzania tangu aingie?
 
Tumepoteza shujaa, mzalendo.

Kitivo alichokiasisi amekiacha vipi?

Taarifa ya msiba ilivyotolewa inaonyesha kitivo alichokiacha au wahitimu wa hicho kitivo hali yao mahmum!


The University of Dar Es Salaam Business School (UDBS) Alumni alias Faculty of Commerce and Management – FCM- Alumni) with deep sympathy would like to announce the death of our founding father and the first dean of the Faculty of Commerce and Management of the University of Dar Es Salaam Prof Ken Edwards alias Joshua Mkhululi. (Hawa wahitimu, sio kitivo chao, wahitimu ndio wanajiita alias Faculty of!)

The legend University don succumbed to death in Arusha on 18th March 2009 and will be laid to rest on Saturday 28th March.(Tofauti ya legend na legendary imewapita, tarehe ziko za kila aina ya format kwenye taarifa.)

Prof Ken Edwards alias Joshua Mukhululi joined the University of Dar Es Salaam in 1976 after graduating from California State University and Stanford Graduate School of Business. He was born in Jamaica on 22nd of January in 1945. He leaves behind four daughters and two sons. - May his soul rest in eternal PEACE. (Watoto sijui kawa adapt au alizaa mwenyewe, alias wanazi introduce mara mbili mbili throughout the taarifa, jina la mwenzao lenyewe hawana uhakika, Mkhu..Mukhu...?)

The Alumni will be represented by our Chairperson Mr Nehemiah Kyando Mchechu at the burial ceremony in Arusha. We also encourage all alumni residing in Arusha and any other regions in Tanzania and beyond who may have opportunity and honor to be part of this burial ceremony to attend. (Watu wanaombwa wawepo kuzika kujipatia heshima wao!)

More details please contact
Fred Moshi
0787-873-660
Given this day of 21st March 2009 by:
PUBLICITY SECRETARY
UDSM-FCM ALUMNI (Sema, For more details,
taarifa ya msiba inataka lugha rasmi!

 
In eternal peace may he rest.

Since alikuwa mtu wa academia, kuna yeyote aliye na link ya kazi zake online? Kwa bahati ana jina lililo common na nimeweza ku google na kuona ma profesa wengi wenye jina hili lakini sifikiri kuwa ni huyu.

Kuhani,

Proofreading is an expensive and extravagant luxury in Tanzania, on the contrary, SUV purchases are a justifiable expediency.
 
Back
Top Bottom