Tunauza tiles (marumaru) za kila aina

hemedans

Member
May 18, 2011
68
64
kama una mahitaji mbali mbali ya tiles za bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu usiwe na wasiwasi kwani HUFAT Group wamekufikia, utapata tiles za kila aina, wall tiles, floor tiles na accessory zake kama vile grout, strips, spenser na waterproof cement.

wall tiles
zipo za ukubwa huu
-25x40
-20x30
-30x45
-20x60
-30x60

hizi ni baadhi ya sample
v8MJHYn.jpg


hizi ni tiles zetu nzuri sana zenye finishing kama mawe ya Tanga , tiles hizi hufanya ukuta uwe na feel ya mawe, chipping au vitofali vidogo vidogo
g3IPXf1.jpg

kama unavyoona kwenye picha, kushoto ni ukuta uliotumia mawe ya tanga na kulia ni sample za tiles

bei zake hizi ni shilingi 28,000

UKLLOYv.jpg

tiles hizi ni za ukuta ambazo unaweza kuzitumia mahala popote, kuanzia ukuta wa nje, wa ndani, chooni, kwenye nguzo nk, uzuri wake ni kwamba zinakaa piece nyingi hivyo mfuko pia unaulinda. finishing ya tiles hizi inazifanya zing'are kwenye mwanga, unaweza hata ukaiona sura yako.
bei yake ni 16,000

floor tiles
zipo za ukubwa huu
-30x30
-40x40
-45x45
-50x50
-60x60

t1Qfwsk.jpg

tiles hizi ndio common kwenye tiles za sakafu, hata bei yake sio kubwa sana, finishing yake inakwaruza na haitelezi hivyo kuzifanya ziwe nzuri kwenye maeneo yanayoingia maji kama jikoni, bafuni, chooni, kwenye corridor etc unaweza pia kueka maeneo mengine ya nyumba/ofisi. pia bei yake ni nafuu kuanzia 13,000

2uQyc6S.jpg

hizi ni tiles kubwa sana za sakafu zipo za granite, marble na rust tiles hizi zipo zinazo ng'aa, kama umewahi kwenda chuo kikuu dodoma ule ndio mfano wake na zipo ambazo hazitelezi zenye finishingi ya rust. hizi zinafaa project kubwa, shule, vyuo, maofisi na nyumba kubwa

bei as cheap as 33,000


tiles za bei nafuu
BstRDoJ.jpg

tiles hizi zinauzwa shilingi 8,000 tu kwa box na zinakaa piece 16, ni nzuri kwa watu ambao mfuko sio mzuri

unahitaji tiles ngapi?
kama unafahamu ukubwa wa eneo lako na unahitaji tiles unaweza kusema hapa ili tufanye mahesabu, mfano utasema chumba changu kina mita 3 kwa 3 nitakuambia idadi ya box za tiles husika unazohitaji

kusave mb
kusave mb zako nimeshindwa kueka picha zote hivyo kama unataka picha zaidi tunaweza wasiliana whatsapp, au pm na aina unazotaka uzione zaidi

samahani
website yetu kwa sasa ipo kwenye matengenezo ila muda si mrefu itakuwa online

mawasiliano na mahala tulipo
tunapatikana congo na mbaruku kariakoo, duka linaangalizana na congo trading wanapouza vifaa vya mabomba na namba ya simu ni hii 0773-980000

bei
bei nimeeka kwenye picha na maelezo, inashuka kidogo kama unanunua kwa jumla
 
OK nipimaje eneo langu ili mziestimate kwa eneo
pima kwa mita, sentimita au futi. chukua futi yako pima upana na urefu wa eneo husika.

futi inaweza kuwa ile wanayotumia mafundi cherehani, ya mafundi seremala au hata mafunzi ujenzi zote zinafaa
 
315cm kwa 255 tiles ngap
315cmx255cm ni sawa na sqm 8.035

assume unaeka tiles za 30x30

tiles za india shilingi 13,000 piece 11
piece 11 kwa 30x30 ni sawa na 0.99sqm ambayo ni sawa na kusema ni sqm 1 tu.

hivyo hicho chumba kitaingia box 8 gharama yake ni shilingi 104,000 au unaweza ongeza box moja sababu ya hio 0.035 japo sio lazima.

tiles za china shilingi 18,000 piece 17
box moja ni sqm 1.53 kwenye hicho chumba zitahitajika box 5.2 hivyo unaweza nunua box 5 ila vyema zaidi kununua 6 ili uwe na uhakika zaidi wa hio 0.2,
box 5 ni 90,000
box 6 ni 108,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom