uhaale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 300
- 151
Mayai ya kwale.Here we go again. Hayo majani yako yamethibitishwa kufanya hayo unayodai? Umeyakuza organically au yamejaa makemikali? Nyakati hizi mtu unaingia Google unasoma upupu usio na miguu wala kichwa huyoo nawe unaanza kudanganya watu.