Tunatoa huduma za outside catering kwa vyakula kizungu. kihindi, kichina, kitanzania nk.

Danfordkahwa

Senior Member
Mar 15, 2012
187
14
Tunatoa huduma ya outside catering kwenye harusi, kitchen party,birthday,semina,Graduation nk. Sahani moja ni 15000 hadi 18000 unapata startet ambapo kunakuwa na soup,main course kuku wa kukaanga,sanaki, chips,wali, tambi,mboga mboga, matunda.Ukumbi kuanzia jumatatu hadi ijumaa ni bure na jumamosi hadi jumapili ukumbi ni 150000 kwa watu300 na 180000 kwa watu 400 kwenye hotel yenye hadhi ya nyota mbili. Huduma hizo zinapatikana pia kwenye hotel yenye hadhi nyota tatu iliyopo ufukweni wa bahari. Chakula sahani shs 35000 hadi 40000 kwa mtu mmoja ukumbi ni bure unapata starter, main course, desesty karibuni wote.0656015564, 0621883802.
 
Back
Top Bottom