Tunaprint na Kufanya copies kuanzia A4, A3, A2, A1 na A0

CADnet Africa

New Member
Sep 9, 2012
4
0
Habari wanajamii. napenda kuwafahamisha wale wenye mahitaji ya kuprintiwa document zao, iwe ni kwa ajili ya tenda au michoro kama vile ramani etc, basi usisumbuke njoo kijitonyama, akachube road, karibu na somyz showroom na tunatizamana na masjid kijitonyama.

uwezo wetu wa kuprint ni:
Mpaka karatasi 10,000 za A4 kwa siku.
Mpaka karatasi 5,000 za A3 kwa siku.
Mpaka Karatasi 500 za A2 kwa siku
Mpaka karatasi 300 Za A1 kwa siku
Mpaka karatasi 200 za A0 kwa siku

uwezo wetu wa kucopy ni:
Mpaka karatasi 20,000 za A4 kwa siku.
Mpaka karatasi 10,000 za A3 kwa siku.
Mpaka Karatasi 1000 za A2 kwa siku
Mpaka karatasi 1000 Za A1 kwa siku
Mpaka karatasi 1000 za A0 kwa siku.

Bei zetu za kuprint Black & white
A4 = 400 per page
A3 = 800 per page
A2 = 2000 per page
A1 = 3000 per page
A0 = 4000 per page

Bei zetu za kucopyt Black & white
A4 = 100 per page. 50 per page(Bulk)
A3 = 200 per page, 100 per page (bulk)
A2 = 1000 per page, 800 per page (bulk)
A1 = 2000 per page, 1750 per page (bulk)
A0 = 3000 per page, 2500 per page (bulk)

Tafadhali wasiliana nasi 0715697796


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom