Tunapofikia kuajili Polisi wengi kuliko Walimu (Serikali yajiandaa kwa shari au vp?)

Kwakanga

Member
Apr 29, 2011
41
13
Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na watoto 247 na maliasili 152

My take: jumla ya askari ni 1947 wakizidi idara zingine zote kwa ujumla wao, je inamaana serikali inajiandaa kwa shari kuliko kitu kingine chochote? Vipaumbele vyetu kama Taifa vinaonekana wapi?
 
Kwani sirikali yetu inawekeza kwenye elimu? Marekani jeshi lao ni wazalishaji lakin kwetu jeshi letu ni consumer
 
Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na watoto 247 na maliasili 152

My take: jumla ya askari ni 1947 wakizidi idara zingine zote kwa ujumla wao, je inamaana serikali inajiandaa kwa shari kuliko kitu kingine chochote? Vipaumbele vyetu kama Taifa vinaonekana wapi?

kuajili = kuajiri
ajila = ajira
wataajiliwa = wataajiriwa
 
Katika gazeti la mwanahalisi leo habari kubwa ni serikali hoi kifedha. Hivyo imebana ajila mpya Polisi wataajiliwa 1,351, magereza 485, makosa ya jinai 111, walimu 417, kilimo 294, jinsia na watoto 247 na maliasili 152

My take: jumla ya askari ni 1947 wakizidi idara zingine zote kwa ujumla wao, je inamaana serikali inajiandaa kwa shari kuliko kitu kingine chochote? Vipaumbele vyetu kama Taifa vinaonekana wapi?

These are the instruments to safe guard the interests of the ruling class!!! Afadhali mle majani lakini ndege ya rais inunuliwe ( Nabii Mramba-) Walimu hawasaidii ruling class kukaa madarakani!!
 
Ngome kuwapa ~289 billion na Elimu kubaki na ~36 billion ni ujumbe wenyewe salamu nzito kwa wanaharakati/wapinzani(CDM), sura halisi ya fikra za watawala wetu na maandalizi kamambe ya kuwa na Taifa la wapiga kura (wajinga, wasio na elimu) na Watawala (wazazi na watoto wa wenye nasaba bara).
 
The state is always nasty,brutal and selfish.Unashangaa ndugu hii ndo Tanzania tunayoipenda.
 
Heri yenu mlioko mjini. Huku vijijini jamani polisi anaogopwa kuliko mtu yeyote, (including J.K). Polisi wamefikia hatua ya kuwakamata waendesha pikipiki na kuwapekuwa mifukoni kwa nguvu ili mradi wapate hela. Serikali imeelekea I.C.U? Jamani, natamani ningejua kuroga nikawafanyizia hawa polisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom