Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,721
109,152
Jina la Marehemu nalihifadhi...

Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023

Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023

Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi.

Kadhia hii hii (ambayo ipo sana katika Makaburi ya Ndugu zetu Waislamu japo hata kwa Wakristo pia hutokea japo kwa Nadra sana) nimeshawahi kuiona pia katika Makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam na yale ya Kola Morogoro.

Ulale mahala pema Peponi Rafiki yangu wa Ujanani na Ukubwani hivi Hamad Abdallah Abedi (Mtoto wa Imam wa Msikiti mkubwa wa Kawe Ukwamani) uliyefariki dunia Jana Kijijini Kwenu Kilwa.

Hukuwa na Cheo chochote, Utajiri wowote wala Umaarufu wowote, ila Umati mkubwa sana Uliokuzika leo Saa 5 Asubuhi kuelekea Saa 6 Mchana ni Kiashirio tosha kuwa ni kweli ulikuwa ni Mtu wa Watu katika Jamii na ndiyo maana Umeliliwa na kila Mtu na GENTAMYCINE nitakukumbuka mno, kwa mengi na hasa Urafiki wako mkubwa nami huku ukiwa pia ni Msaada Kwangu Kiushauri na hasa ukiwa ni Mtani wangu mkubwa wa Mpira Wewe ukiwa ni Yanga SC lia lia nami nikiwa ni Simba SC Kindakindaki.

Mwenyezi Mungu ampe Subira Shemeji (Mkeo) na Mtoto wako, awapiganie, awape Nguvu na anibariki Uchumi mzuri nami GENTAMYCINE ili basi Siku moja niweze kuwa Msaada kwa Mjane (Mkeo) na Mwanao Mpendwa.

Pumzika mahala pema Peponi Hamadi Abdallah Abed.

Nitakukumbuka na sijui sasa Yanga SC yako ikishinda au ikifungwa nitataniwa na nani au nitamtania nani.
 
Umeshakatazwa mkuu uache kujisingizia UNAISHI Dar. Wewe upo kijijini kwenu huko bunda vijijini mambo ya kawe Dar yanakuhusu nini wewe?

Kichwa cha habari tofauti, content tofauti. Lengo ni kuwashawishi wana jf kwamba UNAISHI Dar.

Wana jf hawadanganyiki
Naweka siti kusubili matusi
 
Sijui n kwanini... LAKINI

Hua nahisi bwana popoma alisoma SAUT ile kozi ya uandishi wa habari, na inawezekana alisoma na wale ambao hua anasema n classmates wake e.g zamaradi.

Lakini aliangukia patupu kupata mchongo kama wao but alikua na hamu sana. Thats why hua anapenda kujisifia kuhusu kusema na kina Farrhia na kujidai anajua kupangilia maneno n.k ili kupata umaarufu humu JF maana ndo palipobaki ambako hafahamiki lakini anaweza kujitukuza.

Japo sometimes ana vi points pia.

Ni mtazamo, usijenge chuki
 
Sijui n kwanini... LAKINI
Hua nahisi bwana popoma alisoma SAUT ile kozi ya uandishi wa habari, na inawezekana alisoma na wale ambao hua anasema n classmates wake e.g zamaradi....

Kuna siku alijisahau akakomenti alisomaga ualimu chuo cha Butimba TTC kipo Mwanza. Alisoma ualimu wa Grade 3A yani ualimu wa shule ya Msingi..
 
Thubutu yake anaikotea wapi hiyo picha?
Kwa Msisitizo na kwa Kujiamini kabisa Imam wa Msikiti wa Ukwamani Kawe ( ulio Jirani kabisa na ATM ya NMB ) ni Mzee Sheikh Abdallah Abedi ambaye amefiwa na Mwanae Marehemu Hamad ( Rafiki yangu ) jana Kijijini Kwao Kilwa.

Ogopa sana Mwanamume wa aina yako ukiwa UNANUKUDIWA hovyo halafu ukawa pia ni Mpumbavu wa Kurithi ni lazima tu kila mara utakuwa Unajipendekeza kwa Wanaume Wengine ili WAKUNUKUDI kama ulivyozoea.

Bahati nzuri hapa JamiiForums wapo Waislamu Wanaosali katika huo huo Msikiti hivyo watasaidia kuonyesha kati yangu na Wewe Mwanaume MNUKUDIWAJI ambaye Kutwa huachi Kunifuatafuata ili nami NIKUNUKUDI nani ni Mkweli na nani ni Muongo na Mpumbavu wa Kurithi kwa waliohangaika kumleta Ulimwenguni.
 
Kuna Mpumbavu kaja Kunishushua akidhani atashusha Credibility yangu kwa kudai kuwa Mzee Sheila Abdallah Abedi siyo Imam wa Msikiti wa Ukwamani Kawe nashangaa katoweka ghafla. Kulikoni?

Juha mkubwa Wewe....!!

LIKUD
 
Kwa Msisitizo na kwa Kujiamini kabisa Imam wa Msikiti wa Ukwamani Kawe ( ulio Jirani kabisa na ATM ya NMB ) ni Mzee Sheikh Abdallah Abedi ambaye amefiwa na Mwanae Marehemu Hamad ( Rafiki yangu ) jana Kijijini Kwao Kilwa.

Ogopa sana Mwanamume wa aina yako ukiwa UNANUKUDIWA hovyo halafu ukawa pia ni Mpumbavu wa Kurithi ni lazima tu kila mara utakuwa Unajipendekeza kwa Wanaume Wengine ili WAKUNUKUDI kama ulivyozoea.

Bahati nzuri hapa JamiiForums wapo Waislamu Wanaosali katika huo huo Msikiti hivyo watasaidia kuonyesha kati yangu na Wewe Mwanaume MNUKUDIWAJI ambaye Kutwa huachi Kunifuatafuata ili nami NIKUNUKUDI nani ni Mkweli na nani ni Muongo na Mpumbavu wa Kurithi kwa waliohangaika kumleta Ulimwenguni.
Weka picha ya hamad
 
Weka picha yake
 
Weka picha ya hamad
LIKUD unapenda sana Kunionyesha kuwa sina nikijuacho, Muongo na Mshamba hapa JamiiForums huku baadhi ya Wapumbavu na Wendawazimu Wenzake wakimuamini.

Taarifa ikufikie na kuanzia leo anza Kujiita LIKUD MPUMBAVU kwani Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe ambaye alifiwa Jana na Mwanae ( Rafiki yangu Hamad ) anaitwa Imam Mzee Abdallah Abedi na kwa sasa kutokana na Changamoto zake za Afya amemteua Sheikh Msafiri na huko nyuma Sheikh Juma Imamu wa Msikiti Uliojengwa upya unaopakana na Kawe Police Station aishiye mita chache tu kutoka ilipo Hospitali mpya ya NDAHANI Kawe nae alikuwa akimsaidia, ila Mamlaka yote ya Msikiti wa Ukwamani Kawe yako chini ya Imam Mkuu wa Msikiti huo wa Ukwamani Kawe Imam Mkuu Msikiti wa Ukwamani Kawe Mzee Sheikh Abdallah Abedi.

Pumbavu.
 
Ukiwa mzima andaa kabisa wosia wako ili siku ukifa usiwape tabu waandika wosia wanauprint tu usia wako
 
LIKUD unapenda sana Kunionyesha kuwa sina nikijuacho, Muongo na Mshamba hapa JamiiForums huku baadhi ya Wapumbavu na Wendawazimu Wenzake wakimuamini.

Taarifa ikufikie na kuanzia leo anza Kujiita LIKUD MPUMBAVU kwani Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe ambaye alifiwa Jana na Mwanae ( Rafiki yangu Hamad ) anaitwa Imam Mzee Abdallah Abedi na kwa sasa kutokana na Changamoto zake za Afya amemteua Sheikh Msafiri na huko nyuma Sheikh Juma Imamu wa Msikiti Uliojengwa upya unaopakana na Kawe Police Station aishiye mita chache tu kutoka ilipo Hospitali mpya ya NDAHANI Kawe nae alikuwa akimsaidia, ila Mamlaka yote ya Msikiti wa Ukwamani Kawe yako chini ya Imam Mkuu wa Msikiti huo wa Ukwamani Kawe Imam Mkuu Msikiti wa Ukwamani Kawe Mzee Sheikh Abdallah Abedi.

Pumbavu.
🤣🤣🤣 wacha bana. Kamata mwizi meeh!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom