Uko sahihi mkuu,anapita njia ile ile aliyopitia Marehemu raisi awamu ya tatu,Mkapa ubabe na visasi kwa wapinzani raisi huyo alipotoka madarakani ndipo alipogundua na kujutia makosa yoteee na huyu hata akipita atakuja kujuta zaidi na kuomba asamehewe kama si kutunga kitabu cha kujutia aliyoyafanya.Nadhani kasoma somo moja kubwa sana in a hard way, akiifanikiwa kupata tena nafasi nadhani atayasema yoooote, kwa sababu kuwa anapeda kusema ya sirini.