Tunaombeni uptodates za mvua jamani

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,916
Huku Ubungo hali ni.ngumu mno magari hayaendi kabisa tuko foleni saa nzima sasa hakuna traffik polisi hata mmoja na mvua inapiga mbaya
 
Nipo maeneo ya mbezi Africana road mvua ni kubwa sana maji yanapita juu ya makaravati foleni hapa hakuna kuuliza ni kama kawa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nipo maeneo ya mbezi Africana road mvua ni kubwa sana maji yanapita juu ya makaravati foleni hapa hakuna kuuliza ni kama kawa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Africana hali ni mbaya sana.
 
oho watu tuna trot kutoka k/koo mpaka tutakapofika maana mbagala leo akuendiki magari machache,foleni na mvua baraa uku
 
Namsukuru Mungu nipo home naangali tv naskia huko nje eti kuna mvua
 
Back
Top Bottom