Tunakesha kwenye Internet Usiku!

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
484
161
Tuliambiwa baada ya kuzindua mkonga wa Taifa huduma za internet zitapungua.Sasa mbona wanatufanya tuwe tunakesha usiku kwa offer zao (Voda,Airtel n.k),wakati huo huo vifurushi ni ghali mno?Tunkuwa "Internet Nocturnals"...
 
Hao mkonga wa taifa walisema itapungua kwa kiasi gani?

Unajua kama nilikua nauza kitu milion 1 then nkiuza laki 9 elfu 99 mia 9 tisini na 9 pia nimepunguza bei?

Bei zimepungua za bundles mitandao yote lakini ndo kiwango hicho?

Hebu jipange kakusanye data then tuje tufanye calculation
 
Mkubwa inaonekana hupendi kukesha!! Mimi ntaendelea kukesha mpaka offer ifutwe mwa sababu speed ni kubwa as hakuna watumiaji wengi, Bei nafuu, hakuna bugdha mara umepigiwa simu mara mtoto kakutekenya mara mjukuu kakurukia,
 
Tuliambiwa baada ya kuzindua mkonga wa Taifa huduma za internet zitapungua.Sasa mbona wanatufanya tuwe tunakesha usiku kwa offer zao (Voda,Airtel n.k),wakati huo huo vifurushi ni ghali mno?Tunkuwa "Internet Nocturnals"...

Hawa wezi wamekuja kuiba. Ni lugha za ulaghai tu! Wezi wa mali za watanzania, wezi, wezi,wezi,
 
Gharama za mawasiliano tunapaswa kuziangalia kwa mapana sio data peke yake. Gharama za data au internet zimepungua baada ya mkonga kuanza kazi na zimekuwa zikiendelea kupungua hatua kwa hatua. Lakini pia gharama za voice calls, sms, mms, trans-network calls na pia charges za kupiga simu nje ya nchi. Makampuni hasa yana base katika matumizi yanayogusa watu wengi, hususan calls na sms kwa sababu punguzo katika matumizi ya kawaida lina attract attention ya wengi. Lakini kuhusu internet ni wachache sana tunaotumia huduma hizo. Kwa hiyo ukijumlisha punguzo katika huduma yote utafeel impact kuliko kuzungumzia data pekee ambayo ni huduma ya wachache.
 
Back
Top Bottom