Tunaitaji mambo ya urembo na umodel kwa hali ya uchumi wetu?

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Kuna haja gani ktk nchi hii maskini,inayoitaji vijana katika uzalishaji,kuwa na mashindano ya urembo na mambo ya umodel, ambapo vijana wakakamavu wanatumia muda mwingi kupamba miili yao,huku wengi wakiwa hawajui hata kupika,tunahitji mambo haya kwa sasa ?
 
Ni kweli binadamu tunahitaji burudani,lakini huoni kama burudani hii ingekuwa stahiki kama tungeipata/ifanya baada ya masaa mengi ya uzarishaji?Maana kwa uchumi wetu sidhani km tunaitaji vijana wanao shinda 24 hrs kuangaria miili yao, kwa waliondelea sawa
 
Frozen kitu unachotakiwa utambue ni kua hayo mashindano yawepo au yasiwepo
uchumi wa nchi yetu uko pale pale... zaidi naweza sema wanapata tokana na kodi
zinazohusiana na hizo shughuli zenyewe.. maisha yamebadilika watu wanataka kuishi saana
kwa usasa - wengine hudhubutu hata kutowasimamia watoto katika mambo muhimu
kama kujifunza kupika... hivyo Uchumi wa nchi yetu ni issue tofauti na urembo...

labda ungesema kama kweli kuna umuhimu wa kupeperusha Mwenge kwa mapesa
yoote yale wanamwaga ktk hio shughuli na uchumi mbovu huu...
 
Back
Top Bottom