kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,196
- 14,678
Utunzaji wake unataka umakini mkubwa kitu ambacho wengi hawakiwezi
Mfano hydraulic yake ni special (CVT ya lita 5), inauzwa 140,000 hivi usijaribu HATA SIKU MOJA kuweka CVT ya lita moja moja.. Utajuta kuifahamu Nissan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana umeongea ki masikhara ila kiukweli sana