shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 494
- 1,005
LG inch 21 mnabadilisha kioo kwa Bei gan?sijaona swali lako mkuu
LG inch 21 mnabadilisha kioo kwa Bei gan?sijaona swali lako mkuu
Usiguse hizo TV. Ndio kampuni iliyojaa kwa mafundi uhuni mwingi sana wamefanya WafanyabiasharaNilikuwa nataka Hisense smart tv lakini kwa wingi wa matatizo ya kioo nimeghairi
S22 ya shemeji hii au sio mtaniKioo cha samsung s22 sh ngapi
icho amna tunanzia kuza inch32LG inch 22 kubadilisha kioo Bei gani?
tunanzia kuza inch 32Kioo cha samsung s22 sh ngapi
ziko poa sana ni utunzaji tuSidhani.. Itakua zali sijui, mwaka wa pili huu "43 Hisense Smart TV inaendelea kudunda.
350000LG 43inch kioo bei gani?
sio kweli nduguNikishaona mtu anasema nipo KARIAKOO huwa naona n tapeli ...
ndio kiookioo au nn boss
Hisense wanakataza kabisaaa kugusa vioo vya TV zaolaini sana..........nina hisense nilinunua kenya 2017 hapo inadunda mpaka leo,,,,,ila hii niliochukua kariakoo mwaka jana hata mwaka haikumaliza kioo kikapata crack na ilikua imebebwa tu kupelekwa chumba kingine,,,kioo chake ukigusa kidogo tu kina crack bora wangeziwekea protector
Hajibu maswaliNikishaona mtu anasema nipo KARIAKOO huwa naona n tapeli ...
160000Sony 32 kioo shilingi ngapi kiongozi