cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,997
- 139,711
Wanasema both teams to score.Apandacho mtu ndicho avunacho. Very sad wamekutana watoto wawili wa mjini. Kila mmoja alikua na karata yake. Kwa haraka sana nilivyoanza kusoma nilimjudge mwanamke, baadae nikamjudge mwanaume at the end nikagundua hapa ni pusi na paku. Wamekutana inshort.
Huyu kaka alipanga kumfanya mwenzake oven, aivishe chakula achukue af amzime..abaki useless. Kumbe huyu dada nae alikua na cards zake kichwani. Hapo wote ni wakosaji. Aliyepanga kumtelekeza mwenzake na aliyemuharibia mwenzake hisia wote sawa.
Unajijua unae mwanamke wa ndoto zako kwanini upige kavu kwa mwingine. Tena kwa jitihada mpaka umtie mimba afu kaipata busy unajisemesha I got a woman of my dreams...hamna hii. Ubaya ubaya tu. Tena huyo nesi ashukuru Mungu kaachwa maana Mungu kamuepusha na dhahma kubwa sana.
Ur guy asijivictimise maana he was also the bad guy..ni vile tu kakutana na type yake. Narudia tena, wanaume msipomuomba Mungu macho ya ndani ya kujua mke wa kukufaa you are finished.