vicent tibaijuka
JF-Expert Member
- Mar 22, 2012
- 268
- 57
Katika matendo ambayo yanaendelea kutokea, mimi naona ni kheri kumbook Kova huko katika mahakama ya dunia, kama walivyofanya wenzetu wakenya. Na sema hili na litatimia. Maana tumeshindwa kunyanyaswa na watu hawa. UN imeshaona kinachoendelea tanzania.