Tumia modem yako kwa line yoyote (chakachua modem yako)

GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
716
292
Poleni na majukumu wakuu, ok kwa wale wakazi wa moshi na arusha wanaohitaji ku-unlock( kuchakachua) modem zao ili kuwawezesha kutumia mitandao yote na kuwa huru kuchagua mtandao wowote wanaouhitaji hili linawahusu, nina unlock modem za mitandao yote, kwa gharama nafuu, ni shilingi elfu tatu tuu (3,000) , kwa wanaohitaji huduma hii unaweza kinicheki kwa hii number(no.) 0656324523, nawatakia shughuli njema.
 
me nilikua nataka huduma ya kuchakachua modem nisiwe naweka bundle wala hela yoyote, yaan kama nanawa vile
 
Hahaha ni pm, nitakupa ujanja wa kutumia kwa gharama nafuu, but not free of charge
 
Sijui ndio maana nimecheka sana nilivyosoma hapo kwako lol.....ngoja waje wataalamu watuambie kama inawezekana!
Nina modem za CDMA je utaweza kuichakachua nikatumia sim card za gsm? Maana kichwa cha habari !!!!!!!!!!
Arusha sehemu gani nije kesho na happy nation ya kwanza.
Nina 200pcs
 
CalvinPower mie hata siyo mtaalamu wa hiyo kitu mpendwa!
 
Last edited by a moderator:
Utadakwa wewe acha ukihiyo, na namba umeweka eti

Adakwe kwa kosa gani? Hakuna sheria ya kumshtakia......Siyo kosa, ile modem unanunua na ni mali yako. anayeweza kumdaka ni mwenye modem. Ila akishakuita umfungulie modem yake, muuzaji hana mbinu tena. Ulaya ndivyo wanavyofanya. Mbona hadi iphone zinafunguliwa, nani alishakamatwa? Kwanza makampuni ya simu ni wauzaji tu. Hawatengenezi hizo modems

Broo, hata ukiweka 5,000 hela ni yako. Tigo, Voda, Airtel hawana namna tena wakishauza modem. Wewe ndio mmiliki siyo wao tena
 
yap you are all right man, please kwa aliye tayari anicheki kwa that number, au anipm kwa maelezo zaidi, nawatakia shughuli njema.
 
Mie nipo tayari ila hujanijibu kwenye post yangu iliangukia kwa sweetlady. Au nii samaraiz? nikija nachukua siku hiyo hiyo au 200pcs ni nyingi?
 
ok kaka hizo modem zako zipo fixed katika mtandao gani? For 200 naweza kumaliza for only one day, or a maximum of 2 days.this depends on the type of modem you need to be unlocked.
 
Mie nipo tayari ila hujanijibu kwenye post yangu iliangukia kwa sweetlady. Au nii samaraiz? nikija nachukua siku hiyo hiyo au 200pcs ni nyingi?
Hazijuwi hizo CDMA ni modem za namna gani, yeye anachojuwa ni kila modem tu unaweza chakachuwa.
 
Nina modem za CDMA je utaweza kuichakachua nikatumia sim card za gsm? Maana kichwa cha habari !!!!!!!!!!
Arusha sehemu gani nije kesho na happy nation ya kwanza.
Nina 200pcs

hahaha kaka CDMA will never work on GSM, hivi ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom