Tumfanyie nini mh. MBOWE kutambua mchango wake katika kukuza demokrasia nchini?

Ntaramuka

Senior Member
May 2, 2008
169
27
Kwa dhati kabisa, huwezi kuongelea watu ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza na kuimarisha demokrasia bila kumtaja mh Mbowe na viongozi wengine wa Chadema. Tangu Mbowe amekuwa kiongozi wa chadema amefanya mambo makubwa sana ndani na nje ya chama.
Kwanza, amekiimarisha chama na leo kimekuwa chama kikuu cha upinzani. Pili, chadema kimekuwa sauti ya tz wengi, nk.
Kama watanzania, tumfanyie nini Mbowe ili kuthamini mchango wake kwenye kukuza demokrasia nchini, bila kujali itikadi za vyama?
 
Ajiuzulu ili alinde heshima yake
 
Ukiweza kutenganisha maslahi binafsi na uongozi, basi utaandikwa katika historia. Siasa ina gharama zake na Mbowe analijua hilo, ndio maana anatisha sana kwa sasa.
 
Tuhakikishe CHADEMA kinaingia madarakani mwaka 2015 na kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2014 tuhakikishe CCM inakuwa majeruhi.
 
Japokuwa uongozi si zawadi lakini nakubaliana na wewe kwa 100%.. Mhe.Mbowe naamini furaha yake itatimia akiona amekamilisha ndoto yake ya kuleta mabadiliko makubwa Tanzania... Mara nyingine huwa natokwa na machozi nikihudhuria mikutano yake!..
 
tufanye yafuatayo
-tuamasishe watu wajiunge na CHADEMA
-tukichangie chama
-2015 tukipigie kura kiingie madarakani
 
Back
Top Bottom