Tumetimuliwa Baa Mpya Na Police Tukitazama Game Ya Man/Sevilla Uefa

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
312
247
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani wakaingia kama 4 hivi wawili Na silaha,akaamliwa bar woman afunge Mara moja Na kila mmoja pale atawanyike!
 
FB_IMG_15184556529089582.jpg
 
Bora mmetoka salama ni afadhali ukutane na majambazi utapona ila sio hao
 
Kwani hali ya hatari imetangazwa? yani unaogopa hata watu kukusanyika kuangalia mpira?huyu Bakayoko anaipeleka wapi hii Tanzania?
 
Sijajua tatizo liko wapi ikiwa bar zitakua wazi hadi saa 8 usiku miaka yoote hapajakua Na shida yeyote,hivi jamani hata kama ni plan za ujambazi ndio zinafanyikiaga bar?
 
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah
Pale ndani wakaingia kama 4 hivi wawili Na silaha,akaamliwa bar woman afunge Mara moja Na kila mmoja pale atawanyike!
Pumbafu zao...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom