Tumedhubutu, tumeweza na tunasonga mbele kuboresha shule zetu.

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Ni katika pita pita za mshikaji akakutana na hii shule bora kabisa ya serikali ambayo ina mwalimu mmoja yeye ndoyo mkuu, msaidizi, mwalimu wa zamu, mwalimu wa nidhamu, mwalimu wa taaluma na kila kitu, watu pekee wanaomsaidia ni wale waliomaliza darasa la saba hapo shuleni ndo kawafanya waalimu wasaidizi wanalipwa na wazazi kwa kuchangia kidogo kidogo.
Hongera ccm ila hivyo vidole vitawatesa sana hadi 2015 kitaeleweka, Go Tanzania...

Noti...
 
Attachments

  • shule ya kata.jpg
    shule ya kata.jpg
    21 KB · Views: 58
  • shule.jpg
    shule.jpg
    20.9 KB · Views: 54
  • VIDOLE JUU.jpg
    VIDOLE JUU.jpg
    31.1 KB · Views: 68
Last edited by a moderator:
Jana nimekwenda Furaha bookshop kununua kitabu cha sayansi darasa la 6 oxford, nikamwomba anipe na cha darasa la saba, akaniambia nisubiri mpaka mwakani nikinunua sasa huenda mwakani wakabadilisha aina ya vitabu na kisitumike nilivyomuuliza kwanini anasema hivo, kasema Elimu ya Tanzania imeingia siasa na Rushwa wauza vitabu wanahonga ili vitabu vyao viwemo kwenye orodha ya vitabu vitakavyotumika mashuleni na kila shule ina vitabu tofauti na shule nyingine lakini mtihani ni mmoja 2, CCM inaandaa Taifa la Wajinga
 
sasa je ulitoa mchango gani katika hiyo shule hata wa mawazo tu ? au ndio tabia ya watanzania kuishia kulalamika kama wanawake wanaponahiliwa. wakifikishwa basi wameshasahau kilio wanatafuta mwanaume mwingine .
 
katika wapumbavu na wewe kweli mpumbavu . sasa na hiyo picha ya vidole juu maana yake wewe ni shopa au ? maana hatuelewi
 
sasa je ulitoa mchango gani katika hiyo shule hata wa mawazo tu ? au ndio tabia ya watanzania kuishia kulalamika kama wanawake wanaponahiliwa. wakifikishwa basi wameshasahau kilio wanatafuta mwanaume mwingine .

Sikuungi mkono hata kidogo! Kwanza kwa sababu ya lugha yako uliyotumia, inakuonesha wewe ni mtu wa namna gani, swala la wanawake linakujaje hapa? Pili ulitaka afanye nini pale? Aende wizarani akalazimishe waalimu waende au aajiri kwa pesa yake ya mfukoni wafundishe pale au ajenge madarasa na ofisi za waalimu au ulitaka afanye nini, huoni kama kwa kuliongelea na kutoa nafasi lijadiliwe ameshafanya angalau kitu? Jumapili njema
 
sasa je ulitoa mchango gani katika hiyo shule hata wa mawazo tu ? au ndio tabia ya watanzania kuishia kulalamika kama wanawake wanaponahiliwa. wakifikishwa basi wameshasahau kilio wanatafuta mwanaume mwingine .

CCM juu, CCM juu, CCM juu. Wewe tapambana na yeyote nayejaribu sema kile ambacho cha haitaki wtu wengi wajue, wewe ni kupiga nyundo kwani huo ndiyo wajibu wako. Good boy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom