Tumebakiza miaka 2 tu kuingia Uchaguzi Mkuu, huku Tanzania ikibebeshwa kesi lukuki na mafaini

Hennes kolon

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
673
1,287
Muelekeo wa nchi kwa Sasa haujulikani, yaani hatuelewi nini kinaendelea kwenye nchi hii, hatujui nini kinaendelea kwenye miradi , hata wakubwa wa nchi kila mtu ni Kama ana hamsini zake . sioni ile bonding ya kiutendaji au ni pressure ya uchaguzi ujao?

Niwakumbushe tu wakubwa huko juu, Uchaguzi hatujaanza leo , tumefanya chaguzi zaidi ya Mara kumi tangu Uhuru, msipoteane hivyo, safari bado!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom