Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Hii ni kwa mujibu wa mwnyekiti wa ZEC.

Hivi Matson Chizzi yuko mitaa gani muda huu
 
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, chama tawala tutaongoza milele mpaka siku tuamu kuacha kwa hiyali yetu hakuna serikali ya mseto
 
Wameogopa miKWARA ya Watazamaji Uchaguzi wa Kimataifa baada ya kuwapiga Mkwara
 
Hizi kura za urais Bara zina haja ya kurudiwa...hatuwezi kuwa na uchaguzi wenye kasoro nyingi namna hii..haileti maana yoyote
 
Hivi mnataka vita au ni nini lakini?! Kisa ccm imeshindwa ndio mnasema uchaguzi ulikuwa na kasoro, je mngeshinda ccm mngesema hivyo?! Mnaharibu amani jamani, damu inaweza mwagika hapa!
 
Back
Top Bottom