tume ya taifa ya uchaguzi!

JODY BYABATO

Member
Aug 6, 2010
17
4
naomba wadau mnisaidie hili, hivi tume ya taifa ya uchaguzi inateuliwa na nani na inawajibika kwa nani?
jana kwenye taarifa ya habari niliona tume ya uchaguzi ikikabidhi ripoti ya uchaguzi kwa rais aliye madarakani je hii ina maana gani, je rais ndiye mkuu wa tume? mwaka 2006 sikufuatilia hili je ndio desturi? kuna uhuru wa tume ya uchaguzi kweli kama hali ndio hii??? maoni yangu ni kuwepo tume huru ya uchaguzi isiyo na mwingiliano wowote na serikali iliyo madarakani!
 
Back
Top Bottom