Tume ya Ajira, tunaomba mtuwekee matokeo ya 'written interview' kwenye account zetu au tovuti yenu

Samba

Member
Nov 24, 2013
74
65
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.

Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu. Nadhani ni haki ya wote wanaofanya mtihani kupata motokeo yao.
 
mie sijui inakuwaje ila ni mara ya kwanza kuomba ajira hivi interview zake zinakuwaje?
 
inategemea na kada, kuna kada zina mitihani 3 i.e written, practical & oral. kuna zingine ni oral tu, na zingine ni written na oral.
 
Tume ya ajira , tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata. Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu. Nadhani ni haki ya wote wanaofanya mtihani kupata motokeo yao.
Ingia www.ajira.go.tz utapata matokeo yako
 
Ila ingependeza zaidi kama wangeweka kwenye akaunti binafsi kuliko kuweka sehemu ya wazi hvy hata kama hawatumii majina ya wahusika
Sikia ww,, hii wanaondoa au kupunguza malalamiko ya watu.. wakiweka huko private account hata ww hutojua kuwa mmepass wangapi kuelekea hatua nyingine.. we fikiria uwazi wote wanaounesha utumishi Ila bado watu wanalalamika kuwa wanachomekana.. wakificha Matokeo itakuwaje Sasa, tumia akili we..
Utumishi wako right sana tena sana.. Uzuri hawaweki majina ili kuzuia kuexpose watu na Hii hata Huku mavyuoni inafanyika hv..
Tumia akili usilalamike kwa kuwa upo hapa JF unaandika kama unavyotaka
 
Daah kwan kuelekeza kitu ni ugomvi.?
Kwani si wanatumia numher,nani anajua number yako mkuu?
Najua. Nmekuelewa.
 
Mbona wanatoa mkuu mpaka na marks ulizopata na kiwango walichoanza kuchukua nadhani oral tu ndo huwa hawatoi majibu.
 
Ila ingependeza zaidi kama wangeweka kwenye akaunti binafsi kuliko kuweka sehemu ya wazi hvy hata kama hawatumii majina ya wahusika
Nadhani watafika huko maana kama exam no kabla walikuwa wanatoa siku ya mtihani sasa wana weka kwenye mfumo.
 
Haya mambo yanahitaji uwazi, kwa utaratibu uliopo tu watu wanalalamika je wakifanya hivyo itakuaje? Mawazo ya kuwekewa kwenye account yako sijui marks hapana kabisa. Mchakato lazima uwe wa uwazi na haki. Kama maboresho waboreshe vitu vingine lakini si hili la kutaka kuficha ficha mambo.
 
Ila ingependeza zaidi kama wangeweka kwenye akaunti binafsi kuliko kuweka sehemu ya wazi hvy hata kama hawatumii majina ya wahusika
We jamaa unataka kurudisha Mambo nyuma ...watu tunataka mpaka matokeo ya oral yawe wazi ww unataka kuficha fichaaa....watu tunataka mpaka kujuaa watu walioingia kanzi data marks walizopata ili pasiwe na.mianya ya kuwekanaa....we jamaaa Ni hovyoooo kabisaa nafikiri utakuaa Ni mtu unayewaza connection tu nakushaur piga msuli ili marks uziangalie kwa juu

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mamaa
 
Back
Top Bottom