TanzActive
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 367
- 73
Wadau Natambua umuhimu wa Tume huru , lakini sijafahamu mambo haya labda ninaweza kupata mawazo yenu:
1. Ni namna gani unaweza fanya Chama Tawala kisiwe na influence kwa Tume ya Uchaguzi?
kwa kuwa ukisema bunge Ndo liunde tume na tume iwajike kwalo, basi Bunge lina wabunge wengi wa CCM yatakuwa yale yele !!!!.
2. Unawezaje kuwapata wajumbe wasion na mwelekeo wa upande wowote wa siasa ,maana hata wale wasio wanachama wa chama chochote bado wana mapenzi na chama fulani ?
Tafadhali tuelimishane kwa hili