Tumbuizo asilia na mkoa kwa mkoa na Michael Katembo

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Michael Katembo huyu jamaa vipindi vyake alikuwa anavipamba mpaka utapenda kusikiliza tumbuizo asilia na mkoa kwa mkoa. Yaani zamani ilikuwa bomba sana, lakini vijana wa siku hizi watasikiliza???????
 
Michael Katembo huyu jamaa vipindi vyake alikuwa anavipamba mpaka utapenda kusikiliza tumbuizo asiliana mkoa kwa mkoa. Yaani zamani ilikuwa bomba sana, lakini vijana wa siku hizi watasikiliza???????

he he.....hiyo ilikuwaga tamu sana.....lakini kulikuwa hakuna choice....lazima usikilize.......siku hizi FM stations kibao....kuna mtu atasikiliza kweli?....ila nawashauri vijana kama watapata nafasi wasikilize......ilikuwa inasaidia sana kutambua mila na desturi za makabila mbalimbali ya Tanzania
 
Jamaa alikuwa na vipindi vilivyokuwa vinahusu utamaduni wetu, alikuwa na kipindi cha asilia salamu,tumbizo asilia, mkoa kwa mkoa yani hadi raha. Mwishoni alikuwa anapenda naye kupiga mluzi au utasikia akisema Katemboo ndio ngoma zinanza kuchezwa. Hadi raha.
 
Unajua kila nikifikiria kipindi kile kila kipindi ulichosikiliza RTD kilikuwa na mvuto wake, sijui ni kwa sababu tulikuwa hatuna exposure........ Any way all ni all tulikuwa na watangazaji mahari sana wanaojua fani zao
 
Back
Top Bottom