Tumbo linamsumbua, amekula samaki na maziwa nini dawa yake?

heartbeats

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
5,757
8,699
kuna ndugu hapa anaharisha sana amekula jana maziwa pamoja na samaki analalamika tumbo na pia anatapika atumie kitu gani apone maana nasikia maziwa na samaki ni mchanganyiko mbaya sasa nahisi umemfanyizia
 
huo mchanganyiko hauna tatizi kabisa...labda kuna sababu nyingine so anywe maji mengi kadri awezavyo...wakati akijongea hospitali
 
Mchanganyiko sio shida,kukata kuharisha alambe chumvi kidogo na anywe soda ya cocacola..sio dawa ya tumbo inakata kuharisha tuu.
 
ata wakisema nimekula nn ila mm ntamchagua lowasa kuwa raisi wangu na familia yangu
 
Nyie mtu anaharisha na kutapika badala ya kumkimbiza hosp mnaleta thread JF?
Kweli uhai hauna thamani siku hizi.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Maziwa na samaki vyote vinashombo. Akiharisha na kutapika kwa muda atapona hapo ni anasifisha tumbo.
 
kuna ndugu hapa anaharisha sana amekula jana maziwa pamoja na samaki analalamika tumbo na pia anatapika atumie kitu gani apone maana nasikia maziwa na samaki ni mchanganyiko mbaya sasa nahisi umemfanyizia
Kwanza huruhusiwi kula Samaki pamoja na maziwa au kunywa maziwa na kula pamoja na mayai utadhurika. Mkuu godimpare Mwambie atengeneze juisi ya machungwa anywe itamsaidia kuzuia kuharisha au maji ya kusafisha mchele pia yata msaidia kuzuia kuharisha auguwe pole.
 
Last edited by a moderator:

Mzizi..
Wale wanaokunywa chai ya maziwa na mayai, yawe ya kuchemsha au kukaanga wanakosea.!!?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza huruhusiwi kula Samaki pamoja na maziwa au kunywa maziwa na kula pamoja na mayai utadhurika. Mkuu godimpare Mwambie atengeneze juisi ya machungwa anywe itamsaidia kuzuia kuharisha au maji ya kusafisha mchele pia yata msaidia kuzuia kuharisha auguwe pole.

Mi huwa nakunywa maziwa fresh na mayai ( boiled, Spanish omelet ama pishi lolote lile)
Nikiwa najaribu kuconsive huwa nakula sana samaki hasa salmon na kwa vile sinywi pombe wakati huo huwa nakunywa maziwa au juice sijawahi kupata tatizo lolote la tumbo.

Naomba ufafanuzi wako mkuu ubaya wake nini?
Au tatizo hilo sio kwa watu wote???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom