tumbo kuuma sana na kiuno

CUTE

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
1,230
591
mm nina boyfriend wangu nampenda sana ila kila tukikutana kimwili hua bada ya siku ile kupita kesho yake nitaamka kiuno kinauma na mgongo na tumbo chini ya kitovu kama tumbo la hedhi vile na hua mara ingine hupelekea mpaka napata bleed hata kama nilishableed wiki ka 2 zilizopita........
naomba munisaidie kufahamu tatizo ni nini au mm ndio niko na matatizo mana kuna wakati tukifanya hata kama bleed ilitakiwa ije wiki mbili baadae inakuja kesho yake...
much respect to all
CUTE
 
Nervousness....hujamzoea hiyo jamaa yako au hujazoea dudu au unaogopa!

Chagua jibu hapo alafu fanyia kazi!
 
kiuno kuuma ni hali ya kawaida. coz hata ukifanya mazoezi ya kukimbia au kuruka kichura kesho yake viungo vinauma kama unakuwa huna mazoea ya kufanya mazoezi kwa mda. hiyo ya kutoka damu ndo sijui kwanini lakini lazima jamaa anakukunja sana wakati yeye ana dudu ndefu labda kama ushatoa mimba. kawaone madoctor hospital japo wamegoma bila shaka utasaidiwa.
 
Nervousness....hujamzoea hiyo jamaa yako au hujazoea dudu au unaogopa!

Chagua jibu hapo alafu fanyia kazi!
nimemzoea tu mbona....na simuogopi
Hebu m-PM Riwa atakusaidia.
Lakini wewe bana hiyo ni nervousness tu hakuna kitu ingine.

Kwa kiuno, hilo ni swala la mazoezi au position ya game, na wewe uqe unaongea na huyo jamaa yako bana, sio anakukunja dakika 20 non stop miguu begani unafikiri kiuno kitaacha kuuma?
 
kiuno kuuma ni hali ya kawaida. coz hata ukifanya mazoezi ya kukimbia au kuruka kichura kesho yake viungo vinauma kama unakuwa huna mazoea ya kufanya mazoezi kwa mda. hiyo ya kutoka damu ndo sijui kwanini lakini lazima jamaa anakukunja sana wakati yeye ana dudu ndefu labda kama ushatoa mimba. kawaone madoctor hospital japo wamegoma bila shaka utasaidiwa.
kwani ndefu ni cm gani ikiwa imesimama.........kuhusu mimba sijawai kutoa wala kupata toka nizaliwe
 
Hebu m-PM Riwa atakusaidia.
Lakini wewe bana hiyo ni nervousness tu hakuna kitu ingine.

Kwa kiuno, hilo ni swala la mazoezi au position ya game, na wewe uqe unaongea na huyo jamaa yako bana, sio anakukunja dakika 20 non stop miguu begani unafikiri kiuno kitaacha kuuma?
riwa ni nani sasa?
labda ni position za game ila sina uhakika mana sifanyagi mara kwa mara kwani tunakaa mbali mbali saaaana kuonana ni bada ya mda kidogo
 
infection especially STD could be the cause. wote mkapime mkojo c/s na majibu yake yatakupa mwanga ni nini tatizo.
 
Back
Top Bottom