tumaanisha nini tunaposema huyu mtu ni mtanashati

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Kumekuwa na wimbi kubwa la wetu , hasa vijana na watu wa makamo kuvaa mavazi ya gharama huku wakiwa wamevaa pete,cheni kubwa kubwa za dhahabu,silver, heleni kwa upande wawanaume, na kwa upande wanawake hali haitofatiani sana na wanaume, lakini huku wao wanavaa cheni za miguuni na miwani mikubwaa..je hali hii inaonesha kwamba watu wengi katika miji yetu ni watanashati au la,
 
Napita tuu hili eneo lina wenyewe. Maana nakumbuka nikiwa Primary school Kijijini kwetu zaidi ya 80% ya wanafunzi walikuwa wanatembea peku na Uniforms chafu, ilikuwa akitokea mwanafunzi kavaa viatu na Uniforms safi alikuwa anaitwa Bishoo mpaka kesho sijui hasa nini maana ya neno bishoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom