Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,321
Mi nashauri mbunge yeyote aanzishe mchakato wa kumpigia kura ya kukosa imani naye,hapa najua washauri wake watamkimbiza TBC kuliambia taifa kuwa amelivunja bunge. Hapa sheria inampa siku chache tu kuitisha uchaguzi mpya ambao pia nina uhakika 2/3 ya wabunge wa sasa watashinda tena,na hapo ndo atapaswa kujiuzuru kisheria. Hii ni njia fupi sana kwa msafiri kuondoka magogoni,labda ashtukie kuwa 2/3 watarudi. Kumbuka sheria haisemi wapinzani wakirudi bungen,inasema 2/3 ya wabunge wote wa sasa. Je unadhani ccm na cdm ukiitishwa uchaguzi upya watakosa kurudi? Nasubiri msafiri ajidanganye kuvunja bunge ndo aje kuishangaa faul ya sheria!